Category: Sitanii
Mwakyembe hawezi kuifuta TLS
Wiki hii nchi imeingizwa katika mjadala mrefu usio na tija. Waziri wa Sheria na Mambo ya Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe nadhani amehemka tu, akasema ikibidi atakifuta Chama cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS). Kauli ya Dk. Mwakyembe imetoka muda mfupi baada…
Katika hili Makonda amepatia
Leo nipo Makao Makuu ya nchi, Dodoma. Nimekuja kuendeleza uenezaji wa ujumbe wa haki ya kupata habari. Tumepata fursa ya kuendesha semina kwa wabunge na waandishi wa habari juu ya umuhimu wa wabunge kufanya kazi pamoja na vyombo vya habari….
Hakika Lukuvi anawezesha Watanzania
Mwaka 2004 aliyekuwa Rais wa Tanzania , Benjamin Mkapa alimleta nchini mtaalam wa uchumi, Prof. Hernando de Soto Polar (75 – sasa) kuzungumza jinsi ya kuwaondoa Watanzania katika lindi la umaskini. Nilipata fursa ya kuwapo kwenye mkutano huo uliofanyika katika…
Trump ameapishwa, Jammeh Ehe!
Nchini Marekani, mwezi Novemba, 2016 walifanya uchaguzi wa Rais. Aliyekuwa mgombewa wa Chama cha Republican, Donald Trump alishinda katika mazingira yaliyoshangaza wengi. Alimshinda aliyekuwa mgombea wa Democrat, Hillary Clinton. Ingawa Clinton alishindwa katika kura za majimbo, aliibuka mshindi katika kura…
Rais Magufuli naomba uniazime sikio
Wiki iliyopita nimesikia mambo mengi, ila mawili yaliniingia akilini. La kwanza ni hotuba ya Rais John Pombe Magufuli akiadhimisha miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ambayo kwa mara ya kwanza yameadhimishwa upande wa Tanganyika. Hii ni historia ya pekee,…
Sherehe zimekwisha, tuchape kazi
Mpendwa msomaji, Heri ya Mwaka Mpya 2017. Leo nimeona niandike mada inayohusiana na maisha. Nafahamu kuwa mwezi uliopita ulikuwa wa mapigo. Kwa wenzangu na mimi wanaofanya biashara za kubangaiza, umekuwa mwezi mgumu kuliko maelezo. Mwezi huu ndiyo usiseme. Kwa watu…