Category: Sitanii
Magufuli madini historia haitakusahau
Wiki iliyopita Serikali imepeleka bungeni miswada mitatu kwa hati ya dharura. Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa Mwaka 2017 [The Natural Wealth and Resources Contracts (Review…
Kodi za majengo, mimba za utotoni
Kwa muda wa wiki mbili sasa sijaandika katika safu hii. Nimepata simu nyingi, na ujumbe mfupi, wengi wa wasomaji wangu wakidhani kuna maswahibu yamenisibu. Nawahakikishia niko salama bin salimin na buheri wa afya. Sikuweza kuandika katika kipindi cha wiki mbili…
Rais Magufuli ulimchelewesha Muhongo
Mheshimiwa Rais Dk. John Magufuli shikamoo. Leo nakuandikia waraka huu mfupi kupitia safu yangu ya Sitanii. Kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu kukupongeza na kukushukuru kwa hatua ya kudhibiti wizi wa madini yetu na pia kumwondoa aliyekuwa Waziri wa Nishati…
TEF inatetea uhuru wa habari
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na baadaye, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luteni Yusuf Makamba, alipata kusema hivi: “Mti wenye matunda ndiyo unaorushiwa mawe.” Wiki iliyopita nimethibitisha kauli ya Luteni Makamba. Nimeithibitisha baada ya kutia…
Rais Magufuli muulize Mkapa kodi
Leo naandika makala hii baada ya Taifa kuwa limepata mapigo makubwa mawili. Pigo la kwanza ni vifo vya wanafunzi 32 wa Shule ya Msingi St. Lucky Vincent, walimu wawili na dereva mmoja. Sina hakika siku ya mazishi ya kitaifa ya…
Waandishi tujimulike kielimu
Wiki iliyopita yametokea matukio mawili makubwa. Wanahabari tumeadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari. Siku hii inaadhimishwa kimataifa na kitaifa imeadhimishwa jijini Mwanza. Kaulimbiu ya siku ya mwaka huu imekuwa ni Fikra Yakinifu, Jukumu la Vyombo vya Habari katika…