JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Lipumba anachoma nyumba aliyomo!

Naandika makala hii nikiwa hapa jijini Tanga. Nashiriki mkatano wa mwaka wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na wanahabari. Nimepata fursa ya kutembelea Hifadhi ya Msitu wa Amani. Msitu huu ulioko Muheza ni wa aina yake. Msitu uko kwenye…

Rubani wa Precision Air atuzwe (marudio)

Wiki iliyopita makala hii ilichapishwa. Hata hivyo, kimakosa kuna aya mbili zilikatika na kuifanya makala hii kupoteza maana ya kwa nini imeandikwa. Kutokana na wasomaji wengi kunipigia simu kuuliza ilihusu nini, naomba kuirudia makala hii. Pia naomba radhi kwa usumbufu…

Rubani wa Precision Air atuzwe

Wiki iliyopita rubani wa ndege ya Shirika la Precision inayoruka kutoka Nairobi kuja Dar es Salaam, Rizwan Remtura amelifanyia taifa letu kazi ya kupigiwa mfano. Rubani huyo amefanya tukio ambalo hakuna aliyepata kuliwaza na ni tukio ambalo likitazamwa kwa mapana…

Kila upande hautaki kusikia haya!

Leo naandika Sitanii ngumu. Ni ngumu kwa misingi kwamba kila atakayesoma makala hii ya leo, kuna mambo ataburudika hadi atamani kunipigia simu ya pongezi, lakini pia, kuna mambo atasoma kama si mvumilivu, atatamani kunipigia simu kunitukana. Nitatahakiki suala hili la…

Magufuli madini historia haitakusahau

Wiki iliyopita Serikali imepeleka bungeni miswada mitatu kwa hati ya dharura. Miswada hiyo ni Muswada wa Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba ya Maliasili za Nchi wa Mwaka 2017 [The Natural Wealth and Resources Contracts (Review…

Kodi za majengo, mimba za utotoni

Kwa muda wa wiki mbili sasa sijaandika katika safu hii. Nimepata simu nyingi, na ujumbe mfupi, wengi wa wasomaji wangu wakidhani kuna maswahibu yamenisibu. Nawahakikishia niko salama bin salimin na buheri wa afya. Sikuweza kuandika katika kipindi cha wiki mbili…