JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Siasa zimetosha, tuingie viwandani

Na Deodatus Balile   Miaka ya 1950 wakati Tanganyika inapigania Uhuru lengo kuu lilikuwa ni kukomboa watu wetu kutokana na unyanyasaji wa hali ya juu waliokuwa wanafanyiwa na Wakoloni. Hali ilikuwa hivyo hivyo kwa upande wa Zanzibar dhidi ya Waarabu….

Utumikishwaji: Bomu linalowalipukia watoto Dodoma

Na Zulfa Mfinanga, Dodoma Vitendo vya utumikishwaji wa watoto bado vinaendelea nchini licha ya kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi 193 zilizokubaliana juu ya ukomeshaji wa ajira kwao. Tanzania ni miongoni mwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa (UN) waliosaini…

Akwilina awe Balozi wa amani

Ijumaa ya Februari 16, mwaka 2017 imekuwa siku ya majonzi kwa taifa letu. Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwiilina B. Akwilini ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwenye daladala, wakati polisi wanapambana na waandamanaji…

Uchaguzi Tanzania tutavuna tunachopanda

Kwa siku za karibuni nimejipa jukumu la kusoma vitabu vitakafitu. Nasoma Biblia na Korani Tukufu. Nasoma maandiko matakatifu. Katika safu hii sitarejea Biblia wala Korani Tukufu, bali ujumbe mmoja tu kutoka vitabu hivi – MAONYO YA MAKUHANI na wengine wanaoitwa…

CCM, CHADEMA Jiandaeni Kisaokolojia

Wiki hii unafanyika uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni, Dar es Salaam na Siha, Kilimanjaro. Uchaguzi huu umeitishwa kutokana na waliokuwa wabunge Godwin Mollel (CHADEMA) na Maulid Mtulia (CUF) kuhama vyama vyao wakajiunga na CCM baada ya kuvutiwa na utendaji…

Siku Afrika ikiwa kama Marekani itakuwaje?

Na Deodatus Balile   Kwa muda sasa nafuatilia siasa za Afrika na sehemu nyngine duniani. Leo nitajadili mataifa mawili; Marekani na Kenya. Nafuatilia kinachoendelea nchini Marekani. Nafuatilia kinachoendelea nchini Kenya. Narejea misingi ya uhuru wa mawazo na uhuru wa vyombo…