JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Bomu la watu laja Afrika – 3

Na Deodatus Balile Kwa wiki ya tatu sasa nafanya mapitio ya kitabu kiitwacho “Making Africa Work”. Tafsiri isiyo rasmi jina la kitabu hiki linamanisha “Mbinu za Afrika kujikwamua kiuchumi.” Kitabu hiki kimeandikwa na Greg Mills, Olusegun Obasanjo (Rais mstaafu wa…

Bomu la watu laja Afrika -2

Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nilizungumzia wingi wa watu unaokuja duniani na hasa Bara la Afrika. Tanzania kwa sasa inakadiriwa kuwa na watu milioni 58. Mwaka 1950 nchi yetu itakuwa na watu milioni 138. Afika kwa sasa inatajwa kuwa na…

Bomu la watu laja Afrika

Na Deodatus Balile Mpendwa msomaji salaam. Wiki iliyopita sikuwa katika safu hii. Nilisafiri kwenda Kisarawe kidogo kwa ajili ya kupeleka taarifa za kilimo cha muhogo. Niliitwa na viongozi wa wananchi wa Kijiji cha Gwata, wilayani Kisarawe waliotaka kufahamu taratibu na…

Ujenzi wa viwanda, muhogo Na Deodatus Balile

Wiki iliyopita niliahidi kuanza kuandika masuala ya msingi katika kilimo cha muhogo. Nimepata simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakisema wanataka kulima muhogo, wengine tayari wanao muhogo na wengine wana mashamba au wengine wanatafuta mashamba ya kulima muhogo. Wengine wamepata…

Kuna dalili muhogo unalimika

Na Deodatus Balile, Beijing, China Naandika makala hii wakati naanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa hapa nchini China kwa muda wa wiki mbili hivi. Nimetembelea vyuo vikuu viwili, miji minane na maonyesho ya zana za kilimo. Ziara hii…

Mlango wa viwanda Tanzania upo China

Na Deodatus Balile, Beijing   Wiki iliyopita katika safu hii nimeeleza kuwa nimeanza kuandika makala zinazohusiana na viwanda. Nimesema nimeingalia familia ya Watanzania, nikaangalia ugumu wa kazi wanazofanya na aina ya kipato wanachoweka kibindoni, basi nikapata hamu ya kuhakikisha angalau…