JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

MV Nyerere imeamsha uchungu

MV Nyerere imeamsha uchungu Na Deodatus Balile Ajali ya MV Nyerere iliyotokea Septemba 20, 2018 katika Ziwa Victoria imeamsha uchungu wa wakazi wa Kanda ya Ziwa. Imenikumbusha siku ya Jumanne ya Mei 21, mwaka 1996 ilipozama meli ya MV Bukoba…

Lissu ameumizwa, lisitokee tena Tanzania

Na Deodatus Balile Leo nimeona niandike mada inayohusiana na hali ya usalama, amani, utulivu na upendo kwa taifa letu. Nimesoma maandishi ya Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu, wakati anatimiza mwaka mmoja wa maumivu tangu alipopigwa risasi Septemba 7,…

Utawala wa sheria utatuepusha ya Makonda

Na Deodatus Balile Wiki tuliyoimaliza imekuwa na matukio mengi. Tumesikia kifo cha Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Mtawa Susan Bathlomeo. Kifo hiki kimeacha maswali mengi. Wapo wanaosema amejirusha, wapo wanaosema amerushwa kutoka ghorofani. Mpaka sasa…

Tamu, chungu ya Magufuli

Na Deodatus Balile Leo zimepita wiki mbili bila kuandika katika safu hii. Makala yangu ya mwisho niliahidi kuandika yaliyojiri katika safari ya mwisho niliyokwenda Mwiruruma, Bunda kumzika Comrade Shadrack Sagati (Mungu ailaze mahala pema peponi roho yake). Sentensi ya mwisho…

Waziri Lugola maliza sakata la Lugumi

Ni miaka miwili na nusu sasa tangu Watanzania walipoanza kusikia kuhusu sakata la Kampuni ya Lugumi Enterprises kushindwa kufunga vifaa vya kuchukulia alama za vidole kwenye vituo 108 vya Polisi, kama mkataba wa kampuni hiyo na Wizara ya Mambo ya…

Rais Magufuli fungua milango zaidi

Na Deodatus Balile   Wiki iliyopita Rais John Pombe Magufuli amefungua milango ya kukutana na viongozi wastaafu. Amekutana nao Ikulu na akasema utaratibu huu ataundeleza. Akasema atakutana nao mara kwa mara na katika kukutana nao hakuwabagua. Amekutana na wale walioko…