Category: Sitanii
Rais Magufuli, Dk. Mpango jengeni wafanyabiashara
Wiki hii naandika makala kwa kusukumwa na kauli za viongozi wakuu wawili wa taifa hili. Hawa si wengine, bali ni Rais John Pombe Magufuli na Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango. Rais Magufuli ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuepuka…
Padri Kitunda amenigusa, tujenge uzalendo
Najua baadhi ya wasomaji wangu wanapenda kila wakati tuandike siasa, uchumi na mambo mengine ya kijamii. Leo naomba mniruhusu nichepuke kidogo. Kuna kitu kimenigusa katika ibada niliyohudhuria Jumapili iliyopita katika Parokia yetu ya Roho Mtakatifu ya Kitunda. Paroko Msaidizi, Paul…
Magufuli asante kuwatumbua Dk. Tizeba, Mwijage
Nafahamu leo zimepita siku kadhaa tangu Rais John Magufuli afanye uamuzi wa kuwatumbua Waziri mwenye dhamana ya Kilimo, Dk. Charles Tizeba na huyu aliyekuwa na dhamana ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage. Sijaandika lolote kuhusu kutumbuliwa kwao. Wasomaji wangu…
Miundombinu, umeme uko njia sahihi
Leo nimeamua kusitisha makala ya Raila Odinga na urais wa Kenya ili nami kidogo nishiriki kujadili na kuichambua miaka mitatu ya Rais John Magufuli. Tangu Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli iingie madarakani, yametokea mambo mazuri kadhaa….
Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (7)
Wiki iliyopita makala hii iliishia katika aya iliyosema: “Mkakati wake [Raila Odinga] kuitisha kura za maoni kubadilisha Katiba nadhani umefikia tamati. Asante rais kwa kutia mkono wako katika uteuzi wa Odinga na kumshawishi akaukubali,” anasema Mbunge wa Kiharu, Ndindi Nyoro.”…
Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (6)
Wiki iliyopita makala hii iliishia kwa kusema wawili hao (Ruto na Waigui) wanahaha kusafisha majina yao, huku Rais Kenyatta akiwa kimya. Jambo jingine linalomtia tumbo joto (Ruto) ni kitendo cha Odinga kujipenyeza kwenye Mkoa wa Bonde la Ufa, ambao ni ngome…