JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Sitanii

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (16)

Nikiri nimeendelea kupata simu na maswali mengi kuhusu ‘Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania.’ Nimepata simu kutoka Rukwa, Katavi na maeneo ya mbali. Changamoto kubwa ninayoipata ni wahusika kukutana na makala hii katikati bila kusoma za mwanzo. Sitanii, ananipigia mtu anaulizia mambo…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (15)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa kuahidi kuwa kuanzia makala ya leo nitaanza kuzungumzia kodi na tozo mbalimbali katika biashara. Katika makala hii ya Jinsi ya Kuanzisha Biashara Tanzania, kupitia vitabu na sheria mbalimbali nilizosoma, nimebaini kuwa kuna kodi za…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (14)

Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuhoji iwapo unazifahamu nyaraka tatu muhimu unazopaswa kuwa nazo baada ya kusajili kampuni. Nyaraka hizi nimepata kuzigusia katika makala zilizotangulia na hata nilipozungumzia Jina la Biashara nilizigusia. Kabla sijaingia kwa kina kuzungumzia nyaraka hizi,…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (13)

Wiki iliyopita nilisitisha safu hii kwa toleo moja kwa nia ya kuandika juu ya kifo cha mmiliki wa vyombo vya habari, Dk. Reginald Mengi. Hadi leo bado naendelea kusikitika na Watanzania wanasikitika. Hata hivyo, ni lazima maisha yaendelee. Tumwombee huko…

Dk. Mengi kwaheri ya kuonana

Najua yameandikwa mengi kuhusu Dk. Reginald Mengi. Dk. Mengi, Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni za IPP na Mwenyekiti wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), amefariki dunia wiki iliyopita. Ni kutokana na kifo cha Dk. Mengi, leo nimeahirisha sehehemu ya…

Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (12)

Katika sehemu ya saba ya makala hii nilihitimisha na aya hii: “Je, unafahamu utaratibu wa kisheria wa kusajili Jina la Biashara, gharama ya usajili, muda wa kukamilisha usajili, nyaraka zinazotakiwa, umri wa mtu anayetaka kusajili Jina la Biashara na matakwa…