Category: Sitanii
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (27)
Wiki tatu zilizopita nilihitimisha makala hii katika sehemu ya 26. Nilieleza nani analipa VAT, utaratibu wa kujisajili, tarehe za kulipa VAT na taratibu nyingine. Nikiri kuwa nimekabiliwa na majukumu mengi ya kitaifa, ikiwamo kuchunguza matreka ya URSUS yanayowatia hasara wakulima….
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (26)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuhoji hivi: “Je, unaelewa VAT ni nini na inalipwaje? Usikose sehemu ya 26 ya makala hii wiki ijayo.” Leo nashindwa kuanza makala hii bila kutoa pole kwa taifa letu kutokana na msiba mkubwa uliotokea…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (25)
Wiki iliyopita nilihitimisha mada yangu kwa kuhoji: “Mpendwa msomaji, je, unafahamu kodi inayoitwa Kodi ya Ongezeko la Mtaji (Capital Gains Tax) na inatozwa kwenye bidhaa zipi? Ni bidhaa mbili ambazo kwa njia moja au nyingine watu wengi hata wasiokuwa wafanyabiashara…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (24)
Wiki iliyopita nilihitimisha mada yangu kwa kuhoji iwapo msomaji unafahamu viwango vinavyotozwa kwenye Kodi ya Zuio. Nirudie kukiri kuwa hadi sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inacho kituo kimoja tu cha Elimu kwa Mlipakodi kilichopo Dar es Salaam. Baada ya…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (22)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii kwa kuuliza maswali haya: “Je, mfanyabiashara unaufahamu mwaka wa kodi wa taasisi au kampuni yako? Unafahamu makisio na taarifa ya mapato ya biashara au shughuli zako yanafanywaje? Usikose sehemu ya 22 kupitia Gazeti la JAMHURI…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (21)
Wiki iliyopita sikuzama sana katika mada hii ya kodi. Nawashukuru wasomaji wangu kwa kuendelea kuniletea mrejesho mkubwa katika eneo hili la kodi. Hakika sikufahamu kuwa kumbe watu wengi wana matatizo ya jinsi ya kuanzisha biashara kiasi hiki hadi nilipoanza kuandika…