Category: Sitanii
Tunazikaribisha Ngangari, Ngunguri na Nginjangija?
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Septemba 22, 2024 ni miaka 29 tangu baba yangu mzazi afariki dunia (wakati unasoma makala hii Jumanne Septemba 24, 2024 ni miaka 29 na siku 15). Baba yangu alifariki Septemba 12, 1995 akiwa…
Mzee Mwinyi alijiuzulu akamsaidia Nyerere, Masauni msaidie Rais Samia
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nchi yetu ilipata mshituko. Si mshituko mdogo, bali wenye kishindo. Katika kipindi ambacho Rais Samia Suluhu Hassan anaponya vidonda vikubwa vilivyotokana na utawala wa Awamu ya Tano, ambapo Tanzania iliingia katika…
Rais Samia ana maamuzi magumu
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Usiku wa kuamkia leo tumeshuhudia kishindo kikubwa katika siasa za Tanzania. Kishindo hiki kimetokana na kalamu ya Rais Samia Suluhu Hassan, juu ya ‘maamuzi magumu’ aliyoyafanya kwa mawaziri wanne. Ametengua uteuzi wa mawaziri…
Tujenge matajiri, kodi zitakuja zenyewe
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita nimeandika kuhusu mfumo wa utozaji kodi. Nimeeleza utitiri wa kodi na utaratibu unaotumika kuzitoza, ambapo wengi wa wanaotoza kodi hawajawahi kufanya hata biashara ya kuuza kuku, hivyo kufahamu ugumu wa kulipa huo…
Rais Samia unda Kikosi Kazi cha Kuchunguza Kodi
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kodi, kodi, kodi…Nimetaja neno kodi mara tatu mwanzoni mwa makala hii. Nimetaja kodi kutokana na matukio makuu matatu ndani ya wiki iliyopita. Tukio la kwanza ni mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia Kariakoo, Dar es Salaam…
Bashe, Mpina, nani anatetea wanyonge?
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kitambo sijaandika makala ya Sitanii kwa mtiririko wake wa kawaida. Nafahamu msomaji umesikia na unalifahamu sakata linaloendelea kati ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, ambapo Mpina anasema Bashe…