Category: Burudani
Mil.300/- za wasanii zilizodhulumiwa zarejeshwa akiwemo marehemu King Majuto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bodi ya Filamu Tanzania imeunda kamati maalum ya kuhamasisha Watanzania kurejesha utamaduni wa kuangalia filamu katika kumbi za sinema. Hayo yamebainishwa na Katibu Mtendaji wa Bodi hiyo, Dkt. Kiagho Kilonzo leo Jumanne Oktoba 4, 2022…
NEC yawaburuza Bunge michezo ya SHIMIWI
Michuano Shirikisho la Michezo ya Wiraza na Idara za Serikali na Mikoa (SHIMIWI) imezidi kurindima katika viunga vya jiji la Tanga ambapo Timu za Kamba za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zimeendeleza ubabe wao kwa timu za kundi E wanaume…
TAMISEMI Queens yaanza vyema mchezo wa kuvuta kamba SHIMIWI
TAMISEMI Queens wameanza vizuri mechi yao ya mchezo wa kuvuta kamba kwa kuwashinda pointi 2-0 Wizara ya Mambo ya Nje katika mshindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yanayoendelea Jijini Tanga. Mechi hiyo iliyochezwa…
Waziri Mkuu:Wizara ya afya ishirikishe kuchangia huduma za tiba
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Afya iendelee kuhamasisha taasisi, na wadau kuchangia maeneo muhimu kama ya afya hasa yanayogusa jamii ikiwemo fistula, na saratani ambayo yanasumbua jamii. “Suala la kuchangia maendeleo na utatuzi wa changamoto za jamii ni…
Bondia Class atamba kumchapa Mmexco
Bondia wa Tanzania Ibrahim Class anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mpinzani wake kutoka Mexico, Gustavo Pina katika pambano la kimataifa la uzito wa feather litakalofanyika kesho (Septemba 30) kwenye ukumbi wa Mlimani City. Akizungumza mara baada ya kupima uzito…
Tanzania mwenyeji Mashindano ya Dunia ya Urembo kwa Viziwi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya utanashati, urembo na mtindo (Miss & Mister Deaf) kwa watu wenye matatizo ya kusikia ‘Viziwi’. Mashindano hayo yanatarajia kufanyika Oktoba 23 hadi 31 mwaka huu katika Ukumbi…