JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Waitara kushiriki mashindano ya gofu Malawi

Na Meja Selemani Semunyu Wachezaji 12 wa Klabu ya Golf ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Lugalo wakiongozwa na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara wanatarajiwa kuondoka leo (Jumatano kuelekea Lilongwe Nchini Malawi kushiriki mashindano ya…

Mister na miss kiziwi wa dunia kupatikana Oktoba 29

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Mashindano ya Dunia ya Mister and Miss Kiziwi yanatarajia kufanyika oktoba 29 2022 katika ukumbi wa mikutano wa Kimatataifa( NJICC) na mgeni rasmi atakuwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalumu,nakwamba yanakutasha washiriki kutoka nchi…

Wizara ya Elimu watinga robo fainali michuano ya SHIMIWI

Timu ya Wizara ya Elimu ya mchezo wa Kamba Wanaume wametinga hatua ya robo fainali ya Mashindano ya Shimiwi ya mchezo huo baada ya kuikung’uta timu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kwa kuwavuta kwa seti 2-1, katika mchezo wa…

Mahakama,Maliasili zang’ara riadha SHIMIWI

Wakati wanariadha Elibariki Buko wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Justa George wa Idara ya Mahakama wameibuka kidedea kwa kutwaa ubingwa wa mita 3,000 kwa wanawake na wanaume katika mchezo wa riadha uliofanyika kwenye uwanja wa Shule Sekondari ya…

TAMISEMI yaichapa 2-0 RAS Shinyanga

Timu ya wanawake ya kuvuta kamba ya TAMISEMI imeshinda 2-0 dhidi ya mpinzani wake timu ya Ras Shinyanga katika michezo inayoendelea ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) Jijini Tanga. Mechi hiyo iliyochezwa leo Oktoba 6, 2022 katika viwanja vya…