Category: Burudani
Waitara azindua ujenzi wa uwanja wa gofu wa kimataifa Serengeti
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) Jenerali (Mstaafu) George Mwita Waitara ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wa gofu ambao umebea jina la SERENGETI NATIONAL PARK GOLF COURSE wa kipekee duniani…
Rais Samia amwaga mamilioni kwa wasanii
Jumla ya shilingi milioni 170 zimetolewa katika mkupuo wa kwanza ambapo msanii wa chini amepata shilingi milioni 20 na wa juu amekopeshwa kiasi cha shilingi milioni 50. Akikabidhi hundi hizo Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mohamed Mchengerwa amewataka wasanii na…
Dulla Makabila kikaangoni BASATA
Msanii wa Singeli, Dulla Makabila ametakiwa kufika Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili kujadili wimbo wake mpya uitwao ‘Pita Huku’ ambao kwa sasa unafanya vizuri kwa kuwa na watazamaji wengi katika mtandao wa YouTube. Makabila amepata barua wito huo…
Timu ya waogeleaji waipeperusha vyema Tanzania
Waogeleaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ya wanaume na wanawake (Tanzanite) wameipeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kushinda mashindano ya Kanda ya tatu Afrika yaliyofanyika hivi kariibuni kwenye bwawa la klabu ya Dar es Salaam Gymkhana. Katika mashindano…
Afrika Kusini kufanya tamasha lake la utamaduni nchini
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imewataka Watanzania kujitokeza katika msimu wa Tamasha la utamaduni la Afrika ya kusini litakalofanyika kwa wiki moja. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Said Yakubu…
Dkt. Mpango kufungua Tamasha la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Tamasha la Kimataifa la 41 la Utamaduni na Sanaa Bagamoyo linaanza leo Novemba 10, 2022 mjini Bagamoyo litakalojadili kwa kina masuala ya Sanaa na uchumi litalaloongozwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa na kufunguliwa na Makamu wa…