Category: Burudani
Mandonga atambulisha ngumi yake mpya ya ‘Kingugi’
Na Eleuteri Mangi Bondia machachari Karim Said maarufu Mandonga Mtu kazi ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo ametangaza ngumi mpya iitwayo ‘Kingugi’ anayotarajia kuitumia kwenye mchezo wa marudiano na Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya. Mandonga ametangaza…
Prof.Lumumba awataka wasanii vijana kutumia Jukwaa la ZIFF katika ubunifu wa filamu
Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar. MWANAMAJINUNI wa Afrika, Profesa Patric Loch Otieno Lumumba ambaye pia akifahamika kama Prof. PLO Lumumba ametoa rai kwa sanii Vijana wa Afrika hususani Afrika Mashariki kutumia jukwaa la tamasha la Nchi za Jahazi (ZIFF) katika…
Sekta ya filamu nchini inapiga hatua kubwa Afrika
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Serikali inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya filamu nchini kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania ambao miongoni mwa wanufaika wa mfuko huo ni wasanii wa filamu ili kuboresha kazi zao ziwe…
Mwijuma aikabidhi Yanga Kombe la Shirikisho la Azam Sports
Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia,Tanga Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma ameikabidhi Klabu ya Yanga Kombe la Shirikisho la Azam Sports mara baada ya kuifunga timu ya Azam kwa kwa 1-0. Finali hiyo imeikutanisha miamba hiyo ya soka…
JK akutaka na wanariadha Watanzania mjini Boston, Marekani
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na wanariadha Gabriel Geay na Wence Tarimo walioshiriki katika Mashindano ya Marathon yaliyofanyika Boston, Marekani Aprili 17, mwaka huu. Gabriel Geay aliibuka mshindi wa pili katika mashindano hayo Rais Mstaafu amempongeza Gabriel Geay…
Ibaada ya kumuaga Costa Titch yaahirishwa
Na Mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Ibada ya kumbukumbu ya Mwanamziki Constantinos Tsobanoglou maarufu “Costa Titch” aliyefariki jukwaani, iliyotarajiwa kufanyika Alhamisi Machi 16, 2023 imeahirishwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia ya mwanamuziki huyo imeelezwa kuwa, kuchelewa huko kumetokana na…