JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Mwaka 2018 Utakuwa wa Maajabu Tasnia ya Filamu Nchini.

Msanii wa filamu nchini Jacob Stephan Maarufu JB ametabiri kuwa tasnia ya Bongo Movie itafanya vizuri mwaka 2018 kutokana na maandalizi mazuri yaliyofanywa mwaka 2017. Muigizaji huyo mwenye vituko vingi, amedai wasanii wengi wamefanya maandalizi makubwa katika kufungua kampuni za…

Mzanzibar Ashinda Tuzo ya Turner Prize

Profesa Lubaina Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye ni mtanzania ametangazwa kuwa mshindi wa ‘Turner Prize 2017’katika tuzo kubwa za Sanaa nchini Uingereza. Majaji wamempa Tuzo kwa maonesho matatu yaliyofanyika Oxford, Bristol na Nottingham ambapo waliisifu kazi yake ambayo inaangazia…