Category: Burudani
WCB Wamtambulisha Mbosso WCB
WCB wakiwa katika picha ya pamoja, katikati ni msanii wao mpya, Mbosso. BURUDANI ya aina yake imepigwa na wasanii wa Lebo ya WCB usiku wa kuamikia leo wakati kumtambulisha msanii mpya katika kundi hilo, Mbosso ambaye awali alikuwa Yamoto…
Diamond Avunja Ukimya Kuhusu Mimba ya Tunda
Diamond akifanya mahojiano maalum na Global TV online. HATIMAYE msanii kutoka industry ya Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameamua kuanika kuhusu tetesi za kumapachika uzauzito Video Vixen wa Bongo, Tunda. Interview ikiendelea. Akifanya mahojiano maalum ya Global TV Online, Diamond…
Hawa Hapa Washindi wa Tuzo za Grammy 2018
Rihanna na Kendrick Lamar kwenye Red Carpet ya Grammy Awards 2018. Hapa nimekuwekea orodha ya wasanii wote walioibuka washindi katika vipengele mbalimbali vya Tuzo za Muziki za Kimataifa za Grammy usiku wa kuamkia leo. • Bruno Mars ndiye alikuwa kinara kwa…
Vanessa Mdee shinda Tuzo Ya ‘Nyota Wa Mchezo’
Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy akimkabidhi Tuzo ya ‘Nyota Wa Mchezo’, Mwanamuziki, Vanessa Mdee maarufu Vee Money. Vanessa Mdee amekuwa msanii wa kwanza Tanzania kupokea Plaque ya ‘Nyota Wa Mchezo’ baada ya kutajwa kama ‘Nyota wa Mchezo’ kwenye vipengele vya BestFemaleAct, BestPerformer, BestLiveAct…
ZARI THE BOSS LADY ANASA NYENDO ZA DIMOND PLUTNUM
Baada ya tetesi kuzidi kuenea katika mitandao ya kijamii na watu kuzidi kusema kuwa inawezekena Tunda ana mahusiano ya kimapenzi na Diamond Platnumz kutokana tu na ukaribu walionao wawili hao. Zari the boss lady ambaye ni mzazi mwenzake Diamond Platnumz…
WASANII ZAIDI YA 400 KUTUMBUIZA KATIKA TAMASHA LA SAUTI ZA BUSARA 2018
Kila mwaka katika mwezi Februari, maelfu ya mashabiki wa muziki kutoka katika kila pembe ya dunia wanakusanyika katika eneo la Ngome Kongwe, Mji Mkongwe kuonja ladha ya kipekee ya muziki wa Kiafrika katika Tamasha la Sauti za Busara. Tamasha hili…