JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

WIMBO WA “KIBA_100” WA ROMA WAMUINGIZA KITANZINI,

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni imemfungia msanii, Abednego Damian maarufu Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za muziki kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukaidi kufanyia marekebisho wimbo wake wa ‘Kibamia’. “Huyu ndugu anayeitwa Roma Mkatoliki…

Oliver Mtukudzi mwanamuziki mkongwe Afrika

Na Moshy Kiyungi Oliver Mtukudzi ni mwanamuziki mkongwe, anayevuma sana hata nje ya mipaka ya nchi yake ya Zimbabwe. Nyimbo zake zinazohamasisha amani na kutoa burudani barani Afrika, zimesababisha yeye kutumika kama alama katika taifa hilo hususan kwa upande wa…

Wastara Kurejea Nchini Kesho Alhamisi, Hali yake Safi

Wastara Juma ambaye yupo kwenye matibabu ya mguu katika Hospitali ya Saifee nchini India imeimarika na anatarajiwa kurejea Bongo kesho Alhamisi, Machi 1, 2018. Taarifa iliyotolewa Afisa Habari, Uenezi , Mahusiano na UMMA wa Chama Cha Waigizaji Kinondoni, Masoud Kaftany imewaomba wasanii na…

ZARI THE BOSI LADY: NIMEMBLOCK DIAMOND PLATINUMZ WIKI TATU HATUONGEI

Mrembo Zari Hassan maarufu Zari The boss Lady amefunguka na kueleza kuwa hana mpango wowote wa kurudiana na mzazi mwenzake Diamond Platinumz. Zari aliyasema hayo, alipokuwa akifanya mahojiano na shirika la Utangazaji cha Uingereza (BBC),  na kuongeza kuwa uamuzi alioufanya…

TANZIA: Mwanamuziki Mowzey Radio Afariki Dunia

Mwanamuziki wa Uganda, Moses Ssekibogo ‘Mowzey Radio’ enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, amefariki. Habari zilizothibitishwa na familia yake na mmoja wa mameneja wake aitwaye Balaam Barugahare, kwa vyombo vya habari, zinazema…