JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

BASATA Yaingilia Kati Video Chafu ya Bilnasi na Nandy

Serikali imeanza mchakato wa kumchukulia hatua nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Nandy baada ya kusambaa mtandaoni kwa video inayomuonesha akiwa na msanii mwenzake Bilnass katika faragha. Video hiyo iliyoanza kusambaa juzi katika mitandao ya kijamii, inawaonesha Nandy na Rapa…

Joseph Kabasele; Gwiji wa muziki asiyekata tama

Na Moshy Kiyungi Tabora. Pasipo kumtaja gwiji la muziki huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabasele utakuwa hujakamilisha historia na maelezo ya muziki upaswavyo kusimulia. Nguli huyo atabaki kuwa baba na nyota kuu ilioleta maendeleo na mabadiliko kwenye…

Mafanikio yoyote yana sababu (13)

Padre Dk Faustin Kamugisha Kujiamini ni sababu ya mafanikio. “Kujiamini! Kujiamini! Kujiamini! Huo ni mtaji wako,” alisema John Wanamaker. Kujiamini ni raslimali yako. Safari kuelekea kwenye jiji la mafanikio inahitaji mafuta yanayoitwa kujiamini. Uwezekano wa kushinda unazidi hofu ya kushindwa….

Dekula Kahanga ‘Vumbi’: Mcongo anayemiliki bendi yake Sweden

Na Moshy Kiyungi Dekula Kahanga ni mwanamuziki aliyetokea nchini na kujikita katika jiji la Stockholm nchini Sweden. Ameweza kutafuta mafanikio hadi kuunda bendi yake anayojulikana kama Dekula band. Kabla ya kwenda nchini humo, Kahanga alikuwa mpigaji wa gitaa la solo…

ERIC OMONDI AOMBA RADHI KWA VIDEO YAKE YA UTUPU

Mchekeshaji maarufu Afrika Mashariki kutoka Kenya Eric Omondi amejipata taabani kutokana na video yake iliyosambaa mtandaoni ambapo anaonekana akicheza na watoto mtoni, wote wakiwa utupu. Video hiyo ambayo inadaiwa kupigiwa katika mto mmoja eneo la Lodwar katika jimbo la Turkana,…

SHILOLE AHUKUMIWA KULIPA MILIONI 14 NDANI YA WIKI MOJA

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli kusababisha hasara kwa kushindwa kufika kwenye shoo. Katika…