JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Sokous Stars inavyochachafya

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Kundi la wanamuziki wa Soukous Stars limekuwa likifanya vyema pindi wanapopata mchongo popote pale Duniani. Hawa ni wanamuzikia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huishi katika nchi tofauti duniani, kila mmoja huko aliko anayo shughuli…

NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA

Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.

Diamond Ampa Hongera AliKiba

Mwanamuziki Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz amemtumia salamu za pongezi mwanamuziki mwenzake, Ali Saleh Kiba maarufu Alikiba kufuatia kufunga ndoa leo Aprili 19. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa anampongeza King Kiba kwa kuoa na kumtakia maisha mema ya…

Diamond, Nandy Bado hakijaeleweka

Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana amewasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa ajili ya mahojiano kutokana na tuhuma za kusambaza katika mitandao ya kijamii video isiyokuwa na maadili. Msanii huyo anatuhumiwa kusambaza video inayomuonyesha akiwa…

Ongera King Kiba Kwa Kufunga Ndoa

  Msanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera. Sherehe itafanyika hapo baadae na inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu kutoka maeneo mbalimbali. Kwa upande wake Rais wa Awamu…