JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Mr Nice Karudi tena kwenye game, Sikiliza Ngoma yake Mpya “Wanabaki Hoii”

Msanii mkongwe wa muziki, Mr Nice ameachia video yake mpya ya wimbo, ‘Wanabaki Hooii’ akiwa katika muonekano tofauti kabisa. https://youtu.be/KBuFmDxkzqo  

Ndoa ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ Hatari

Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle. MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji maarufu wa Marekani, Meghan Markle. Harry akiwasalimia mamia ya watu…

Fally Ipupa anatamba kwa muziki wa Kongo

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Sifa za mwanamuziki Fally Ipupa zimeenea kila pembe kuliko na wapenzi wa muziki wa dansi. Yeye pamoja na mwenzake, Ferre Golla; wanatajwa kuelekea kuchukua nafasi za wanamuziki wakubwa waliomtangulia. Hawa ni wanamziki vijana wanaotamba katika anga…

Sikiliza Nyimbo mpya ya Ali Kiba “Mvumo wa Radi”

Msanii Ali Kiba ameachia video ya wimbo mpya unaojulikana kwa jina la Mvumo wa Radi

Sokous Stars inavyochachafya

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Kundi la wanamuziki wa Soukous Stars limekuwa likifanya vyema pindi wanapopata mchongo popote pale Duniani. Hawa ni wanamuzikia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huishi katika nchi tofauti duniani, kila mmoja huko aliko anayo shughuli…

NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA

Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.