JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

SAM MANGWANA Mwanamuziki asiyechuja

NA MOSHY KIYUNGI Jina la Sam Mangwana si geni masikioni mwa wapenzi wa muziki wa dansi Afrika Mashariki na Kati. Ni mwanamuziki mwenye vipaji vya utungaji na kuimba nyimbo za muziki wa dansi akitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Mangwana…

Mbilia Bel astaafu muziki

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Mwimbaji mkongwe wa muziki wa Kilingala na Kifaransa, Mbilia Bel, amestaafu rasmi muziki Januari mwaka jana. Mwana mama huyo mapema Januari 2017, alitangaza kustaafu kwake wakati akisherehekea miaka 40 kwenye muziki, pia siku yake ya kuzaliwa…

Queen Elizabeth Aibuka Mshindi wa Miss Tanzania 2018

Shindano la Miss Tanzania 2018 lilofanyika usiku wa Jumamosi Septemba 8, 2018 na kushuhudia Queen Elizabeth kuibuka na ushindi katika mshindano hayo. Queen alisema “Nafurahia kushinda taji ili najisikia vizuri sana asante Tanzania” akiongeza “ukiwa kama mrembo lazima ujiandae kama unavyoona…

UTATA WAIBUKA BETHIDEI YA TIFFAH

Wakati mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akitangaza maandalizi ya kufuru ya bethidei ya mwanaye Tiffah (pichani), utata umeibuka baada ya upande wa pili wa mzazi mwenziye msanii huyo, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kudaiwa kuipotezea. Mtu…

Miaka 9 tokea kifo cha Michael Jackson, kuna haya ya kuyafahamu

Miaka tisa tokea dunia ipate taarifa za kifo cha mfalme wa muziki wa Pop duniani Marehemu Michael Jackson ambaye alifahamika duniani kote kutokana na upekee aliokuwa nao katika uchezaji pamoja na nyimbo zake ambazo zilipendwa na watu wengi ulimwenguni. Marehemu…

MSANII WA DK. SHIKA ATOA VIDEO YA WIMBO

Msanii ambaye anasimamiwa na Dk. Shika A.KA mia 900 itapendeza, Godson ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Relax’ ambao amemshirikisha Beka Flavour, video imeongozwa na Kwetu Studio.