Category: Burudani
Mkasa wa 2Pac Shakur Malaysia (2)
Tupac alilelewa katika mazingira magumu, jamii yake ilimpatia jina la ‘Black Prince’ kwa kuwa mama yake alimpenda mtoto wake. Tupac alikulia katika mazingira ya ‘kitemi’ kutokana na kushindwa kupata malezi bora, huku mama yake akishindwa kuwa karibu ili kumlea mtoto wake,…
Werrason alivyoitosa Wenge Musica (2)
Vijana wengi wa kizazi kipya cha muziki wa Kongo waliowahi kupitia kwa Werrason ni Ferre Gola, Heritier Watanabe, Fabregas, Robinho Mundibu, Bill Clinton, Celeo Scram, Brigade, Capuccino le Beau Gars, Didier Lacoste na Flamme Kapaya. Tangu mwaka 2000, Werrason anamiliki Shirika…
Werrason alivyoitosa Wenge Musica
Na Moshy Kiyungi Mwanamuziki, Noel Ngiama Makanda ‘Werrason’, aliamua kuikacha bendi yake ya Wenge Musica BCBG, akaamua kuunda kikosi chake cha Wenge Musica Maison Mere. Amejizolea sifa lukuki kufuatia ubunifu alionao na tabia yake ya ukuzaji wa vipaji pamoja na…
Samatta mguu sawa!
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Ally Samatta, amekuwa lulu kwa klabu tatu za nchini Uingereza. Samatta yuko mguu sawa akisubiri Everton wazidi ‘kujikoki’. Tetesi zinasema nyota huyo anasakwa na West Ham United – ‘Wagonga Nyundo…
Msimbazi ni majonzi
Wanachama na wapenzi wa Klabu ya Soka ya Simba ya Dar es Salaam, pamoja na wapenzi wa soka ndani na nje ya nchi wako kwenye majonzi makubwa baada ya kutekwa kwa mfadhili na mwekezaji mkuu wa klabu hiyo, Mohammed Dewji…
Mourinho, mwisho wa enzi!
NA MWANDISHI WETU Alexis Sanchez anaweza kuwa ameokoa kibarua cha Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, kufukuzwa mapema wiki hii baada ya kuwafunga Newcastle United 3-2 mwishoni mwa wiki. Endapo Jose Mourinho ‘The Special One’ atafungashiwa virago, Meneja wa Tottenham, raia…