Category: Burudani
Diamond Plutnumz shujaa asiyechoka
Msanii wa kizazi kipya, Diamond Platnumz (pichani), ambaye ‘nyota’ yake inaendelea kung’aa kwa kuingiza pesa lukuki kutoka katika maonyesho yake amekuwa akipata mialiko mingi ndani na nje ya nchi, ambako hulipwa ‘kitita’ kizuri cha pesa. Mara baada ya kuzaliwa Oktoba…
P-Square wana utajiri wa kutisha
Wapenzi wa muziki wa kizazi kipya duniani, hasa Afrika, kundi la P-Square si geni masikioni mwao kutokana na kazi zake kukubalika katika makundi mbalimbali. Vijana hao wawili, ambao ni mapacha kutoka nchini Nigeria, Peter Okoye na Paul Okoye, wanaunda kundi…
Kipanya: Nilikotoka
Mchora katuni maarufu, Ally Masoud (Masoud Kipanya), amesema hataogopa kumchora rais wa nchi kwa kuwa havunji sheria na kwamba uchoraji wa katuni umedumu kwa muda mrefu duniani kote. Kipanya licha ya kuwa ni mchoraji wa katuni, pia ni mtangazaji wa…
Pumzika kwa amani Oliver Mtukudzi
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Jazz kutoka Zimbabwe, Oliver Mtukudzi ‘Tuku’(pichani juu), amefariki dunia wiki iliyopita katika Hospitali ya Avenues jijini Harare akiwa na umri wa miaka 66. Tuku alilazwa hospitalini hapo baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kabla hajalazwa mwanamuziki…
MAAJABU YA DK. REMY ONGALA (1)
Kama kuna mwanamuziki ambaye hawezi kusahaulika katika kumbukumbu za wapenda muziki ni Dk. Remmy Ongalla. Desemba 13, 2018 alitimiza miaka minane tangu afariki dunia. Alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumatatu ya Desemba 13, 2010 nyumbani kwake Sinza, jijini Dar es…
Tumkumbuke nguli Shakila Binti Said (1)
Ni zaidi ya miaka miwili tangu atutoke Shakila Binti Said aliyekuwa nguli katika miondoko ya muziki wa taarabu humu nchini na Afrika Mashariki na Kati kwa ujumla. Wakati wa uhai wake, aliweza kuonyesha umahiri wake wa utunzi na uimbaji wa taarabu…