JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Sho Madjozi atangaza rasmi kuacha muziki

Na Isri MohamedRapa wa kike kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi ametangaza rasmi kuachana na muziki mara tu baada ya kuachia albamu yake. Sho Madjozi amethibitisha hilo akiwa kwenye mahojiano na kituo cha SABC News Online, ambapo amesema. “Ndio naachana na…

Bongo Movie kugusa jamii ya saratani

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tasnia ya filamu nchini kupitia kampuni ya uandaji filamu ya Allan Cultural group (ACG) imedhamiria kutoa elimu ya saratani kupitia fani sanaa. Hatua hiyo imekuja mara baada ya kampuni hiyo kutangaza rasmi ujio…

Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia

IDARA ya Uhamiaji nchini Afrika ya Kusini imeamua kumnyang’anya utambulisho wa uraia Mrembo wa Afrika ya Kusini, Chidimma Adetshina baada ya kugundua amefanya  udanganyifu wa uraia wake. Agosti mwaka huu ,Chidimma Adetshina  alishinda taji la urembo la “Miss Universe South Africa”…

Simba Day yang’ara

Wachezaji wa Kikosi cha Simba Sc wakishangilia goli wakiwa katika mchezo wa kirafiki wa kuhitimisha Tamasha la 16 la Simba DAY uliopigwa katika dimba la Benjamini Mkapa Agosti 3, 2024, Dar es Salaam, katika mchezo huo wamefanikiwa kuibuka na  ushindi…

Watanzania wanga’ara tuzo za kimataifa

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tuzo za Kimataifa za Heshima ambazo hutolewa kwa watu maalum kwa kutambua mchango ambao hutolewa na watu hao katika jamii husika zimefanyika nchini kwa mara kwanza mwaka huu. Tuzo hizo maarufu kama (I-CHANGE…

Mwanamuziki Snura aachana na muziki, amrudia Mungu

Mwanamuziki Snura Mushi ametangaza kuacha muziki huku akikataza nyimbo zake zisichezwe kwenye vyombo vya habari na sehemu nyingine, Hatua hiyo imekuja baada msanii huyo kudai kuwa kwa sasa ameamya kumrudia Mungu wake. “Watanzania na nje ya nchi mimi Snura leo…