JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

SAFARI YA DIAMOND PLUTNUMZ

Bila mama yake angekuwa wapi? (2) Baada ya kuhitimu elimu yake ya sekondari mwaka 2006, mwaka uliofuata – 2007, Diamond akajikita rasmi katika shughuli za muziki ili kujaribu kutimiza ndoto zake. Hata hivyo, hakupata mserereko kama ambavyo alitarajia, kwani alipitia…

SAFARI YA DIAMOND PLUTNUMZ

Bila mama yake angekuwa wapi? (1) Licha ya nongwa na maneno ya kumchafua kwenye mitandao ya kijamii, Diamond Platnumz, anaendelea kutesa katika gemu la muziki wa kizazi kipya nchini na sehemu nyingine duniani. Hivi karibuni msanii huyo alitunukiwa tuzo ya…

SIR NATURE

Aliokota chuma chakavu kusaka ada (2) Sir Nature akaanza kuimba peke yake akijikumbusha mashairi hayo lakini kitendo hicho kikaamsha hisia fulani ndani yake kuhusu muziki. Hisia hizo ndizo zilimfanya awashawishi vijana wenzake watatu kuanzisha kikundi kilichokuwa likijulikana kwa jina la…

SIR NATURE

Aliokota chuma chakavu kusaka ada “Baada ya dhiki faraja,” ni msemo ambao unaakisi maisha halisi ya msanii maarufu nchini kwa jina la kisanii ‘Sir Nature’. Msemo huu una maana sana kwa Sir Nature kutokana na madhila, majanga na misukosuko lukuki…

Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (2)

Wiki iliyopita makala hii iliishia pale ambapo Barnaba Classic anakumbuka kwamba baba yake hakuwahi kumkubali katika kazi yake ya muziki hadi siku alipopata mwaliko wa kwenda Ikulu na kwenda na baba yake, hapo mambo yakaanza kubadilika ndani ya familia. Endelea…

Barnaba ni almasi iliyong’arishwa THT (1)

Jina Barnaba Classic pengine si geni masikioni mwako! Huyu ni mwanamuziki na si msanii kama wanavyoitwa wengine, maana ameenea kila idara inayokidhi mwanamuziki kuitwa hivyo. Unaweza kusema Barnaba Classic ni almasi iliyong’arishwa na Tanzania House of Talents (THT), maana yeye anasema alizaliwa…