JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

Usanii uendane na ubunifu, tusiige kila kitu

Kwa sasa taifa limekuza vipaji vya usanii, hasa wa muziki. Vijana wamebuni muziki unaojulikana kama muziki wa kizazi kipya. Huu ni aina ya muziki ninaoweza kusema una mambo tofauti na muziki tuliokuwa nao miaka ya nyuma. Ni muziki unaokwenda kwa…

Corona ‘yakamata’ burudani

Si masuala ya uchumi na kijamii tu ambayo yameathiriwa na kuibuka kwa virusi vya corona (COVID-19) duniani, kwani hata masuala ya michezo na burudani nayo yameathirika kwa kiasi kikubwa. Kuibuka kwa ugonjwa huo ulioanza nchini China mwishoni mwa mwaka jana…

Koffi Olomide ataja siri ya kufanya muziki muda mrefu

Mkali wa muziki wa rhumba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomide Mopao Mokonzi, ametaja siri ya kuendelea kuwapo kwenye muziki kwa muda mrefu licha ya kuwa na umri mkubwa. Olomide amesema hayo alipokuwa akijibu swali la mwandishi…

Mzungu Kichaa aachia albamu nyingine

Mwanamuzi wa Bongo Fleva mwenye asili ya Ulaya, Mzungu Kichaa, ameachia albamu nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Huyu Nani’ akiendeleza safari yake ya muziki ambayo inatimiza miaka kumi hivi sasa. Akizungumza na Club1Xtra ya jijini Nairobi hivi karibuni kuhusu albamu…

Banana kama baba yake (2)

Katika kuangalia safari ya kimuziki ya Banana Zorro, wiki iliyopita tuliona jinsi alivyoamua kuachana na bendi ya kwanza na kujiunga na Inafrica Band, na moja kwa moja kujikita katika kufanya kazi kama mwanamuziki anayejitegemea, yaani solo artist. Akiwa mwanamuziki anayejitegemea,…

Banana kama baba yake (1)

Wahenga wana misemo mingi na moja ya misemo hiyo ni: “Mtoto wa nyoka ni nyoka.” Usemi huu umejidhihirisha wazi kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Banana Zorro, anayefanya muziki kama alivyo baba yake mzazi, Zahir Alli Zorro. Zahir ni mmoja kati…