JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Burudani

HADITHI; Maisha baada ya chuo – (3)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Tumuachie Mungu, Paul ni mtu anayejitambua, kama yuko hai atakuja,’’ alisema baba yake Paul, japokuwa kauli hiyo  ilikuwa  na hisia ya kukata tamaa ndani yake, akihisi mwanae pengine alikuwa amekufa au ametekwa na…

King Kiki naye yupo kitandani

Kikumbi Mwanza Mpango, maarufu kwa jina la King Kiki au Bwana Mukubwa, kwa sasa haonekani majukwaani kutokana na maradhi ya uti wa mgongo yanayomsumbua kwa muda mrefu. Taarifa hii inakuja wakati mkongwe mwingine wa muziki wa dansi nchini, Hassan Bitchuka,…

Ananga vituo vya redio

Imedaiwa kwamba kuporomoka kwa muziki wa dansi kumesababishwa na baadhi ya vituo vya redio zilizomo humu nchini kutokupiga muziki huo mara kwa mara. Madai hayo yametolewa na mwimbaji nguli, Khadija Mnoga ‘Kimobitel’, ambaye ametamka kuwa nyimbo za bendi za zamani…

JOSE CHAMELEONE

Mwanamuziki tajiri Uganda Jose Chameleone yaelezwa kuwa ndiye mwanamuziki anayeongoza kwa utajiri nchini Uganda, akikadiriwa kuwa na utajiri unaofikia Sh bilioni 1.5 za Tanzania. Aidha, anamiliki majengo ya thamani kubwa ya kukodisha (apartments), ziitwazo Daniella Villas, jijini Kampala na studio…

Usanii uendane na ubunifu, tusiige kila kitu

Kwa sasa taifa limekuza vipaji vya usanii, hasa wa muziki. Vijana wamebuni muziki unaojulikana kama muziki wa kizazi kipya. Huu ni aina ya muziki ninaoweza kusema una mambo tofauti na muziki tuliokuwa nao miaka ya nyuma. Ni muziki unaokwenda kwa…

Corona ‘yakamata’ burudani

Si masuala ya uchumi na kijamii tu ambayo yameathiriwa na kuibuka kwa virusi vya corona (COVID-19) duniani, kwani hata masuala ya michezo na burudani nayo yameathirika kwa kiasi kikubwa. Kuibuka kwa ugonjwa huo ulioanza nchini China mwishoni mwa mwaka jana…