Category: Burudani
LUIZA MBUTU… ‘Kizizi’ cha Twanga Pepeta
TABORA Na Moshy Kiyungi Miongoni mwa wasanii wa kike waliowahi kufanya makubwa enzi za muziki wa dansi nchini na kuwavutia wengi, ni Luiza Mbutu. Lakini kabla yake wamewahi kuvuma wanamuziki kadhaa wa kike maarufu kama akina Tabia Mwanjelwa, Asia Darwesh ‘Super…
Makosa ya Miss Tanzania haya hapa
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Hatimaye Kampuni ya The Look na Kamati ya Miss Tanzania imeweka hadharani makosa sita yaliyosababisha kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021, Rose Manfere, kuwakilisha nchi katika mashindano ya urembo ya dunia, yaani Miss World. Akizungumza…
Msungu: Jamani ni sanaa tu!
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Msanii wa filamu nchini, Stanley Msungu, amewatoa hofu mashabiki wake akisema kinachoonekana jukwaani si maisha yake halisi. Akizungumza na JAMHURI jijini hapa, Msungu anasema kumekuwa na shaka miongoni mwa mashabiki wa filamu wakihisi kwamba…
KING ENOCK… Mwalimu wa muziki wa dansi
TABORA Na Moshy Kiyungi Mzaliwa wa Zambia, Michael Enock, aliyekuja kutambulika baadaye kama ‘King’ au ‘Teacher’, aliingia nchini mwaka 1960 na kuwa nguzo ya muziki wa dansi. Pamoja na sifa kubwa alizokuwa nazo miongoni mwa mashabiki wa muziki na hata…
Aeleza sababu ya Jua Kali kuvutia wengi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Msanii, mtunzi na mwongoza filamu, Leah Mwendamseke, maarufu kama Lamata, amesema uhalisia uliomo ndani ya tamthilia yake ya ‘Jua Kali’ ndiyo sababu ya kugusa mioyo ya watazamaji wengi. Akizungumza jijini Dar es Salaam, Lamata…
Dayna amnasa Davido
DAR ES SALAAM Na Regina Goyayi Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dayna Nyange, yupo nchini Nigeria akiandaa nyimbo kadhaa zitakazokuwa kwenye EP (extended playlist) yake mpya. Akizungumza na JAMHURI, msanii huyo wa kike ambaye yupo kwenye mikakati ya kurejesha…