Na mwandishi Wetu Jamhuri media, Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Edward Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum.
Kabla ya uteuzi huo Sophia Mjema alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM.