Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
November 30, 2022
Habari Mpya
Barrick, Polisi washiriki matembezi ya kupinga vitendo vya ukatili Dar
Jamhuri
Comments Off
on Barrick, Polisi washiriki matembezi ya kupinga vitendo vya ukatili Dar
Wanafunzi kutoka shule mbalimbali za wilaya ya Kinondoni na wananchi wakishiriki matembezi ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia yaliyoandaliwa na kampuni ya Barrick kwa kushirikiana na Dawati la Jinsia la Jeshi la Polisi ikiwa ni maadhimisho ya siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia yaliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi walioshiriki katika matembezi ya kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia yaliyoandaliwa na Barrick kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo na Maofisa kutoka Jeshi la Polisi.
Meneja wa Barrick nchini Tanzania,Georgia Mutagahywa,akiongea na washiriki wa maandamano yakupinga vitendo vya ukatili yaliyofanyika jana jijini yaliondaliwa na kampuni ya Barrick kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi dawati la jinsia.Wengine pichani ni Maofisa kutoka Jeshi la Polisi na Serikali
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kinondoni Stella Msofe (kushoto) akiongea wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto yaliyoandaliwa na Kampuni ya Barrick kwa kushirikiana na Dawati la jinsia la Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaaam yaliyofanyika jana katika viwanga vya kituo cha Polisi cha Oysterbay. Katikati ni Meneja wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa na Kamishna Msaidizi wa Polisi( ACP) Alyoce Nyantora ambaye alimwakilisha Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP, Camilius Wambura
Post Views:
179
Previous Post
Kipigo cha Ihefu, kimewapeleka Yanga kwenye presha sahihi
Next Post
Bocco aivuruga Simba
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Habari mpya
‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’
Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA
Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia
Rais Samia ateua viongozi mbalimbali
Rais Samia amlilia Mkuu wa Majeshi wa zamani nchini
Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’
JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika
Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani
Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria
Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi
Polisi yatoa onyo wanaosajili laini za simu kwa kutumia NIDA za watu wenginge
Bibi harusi aanguka na kufa ghafla ukumbini
Hezbollah yamtangaza Naim Qassem kuwa kiongozi wake mpya
Wadau wakutana Arusha kujadili bima ya afya kwa wote
Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme – Kapinga