Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
December 20, 2024
MCHANGANYIKO
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Jamhuri
Comments Off
on Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili na kupokelewa Wilaya ya Nzega, leo Ijumaa tarehe 20 Desemba 2024. Kabla ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Jimbo la Nzega mjini, ambao amealikwa kuwa mgeni rasmi, Balozi Nchimbi alifanya uzinduzi wa ukumbi mkubwa wa mikutano unaomilikiwa na CCM Wilaya ya Nzega, wenye uwezo wa kutumiwa na watu takriban 1,500 – 1,900 wakiwa wamekaa, ulioko Ofisi ya CCM Wilaya ya Nzega.
Post Views:
64
Previous Post
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Next Post
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Habari mpya
Mshindi wa mashindano ya Gofu ya Lina PG Tour kujulikana kesho kutwa
Balozi Nchimbi awasili Nzega, azindua ukumbi wa mikutano
Wawekezaji wakaribishwa Kagera
Ujenzi mradi wa kufua umeme wa bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika
REA kusambaza mitungi ya gesi 13,020 kwa bei ya ruzuku Shinyanga
Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho miaka 25 ya TAWJA
Dk Biteko apongeza Tamasha Ijuka Omuka
Polisi watoa ufafanuzi kuhusu mchezaji Bernad Morrison
Waziri Mkuu amwakilisha Rais Dk Samia kuaga mwili wa marehemu Tendwa
Balozi Nchimbi awasili Tabora kwa ziara ya siku mbili
Serikali yahimiza ubia kwenye miradi yenye mvuto kibiashara
Wanajeshi 100 wa Korea Kaskazini wauawa katika vita vya Ukraine
Tanzania inaongoza katika nchi za Afrika Mashariki kuwa na afya ya uchumi zaidi – Kafulila
Gibson: Starlink Tanzania haina uhusiano na Starlink Satellite
Walimu wa awali na msingi wapata mafunzo ya TEHAMA