JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

BAJETI YA 2018/2019 Tutakakofanikiwa, tutakakofeli

DAR ES SALAAM NA FRANK CHRISTOPHER   Ikiwa ni bajeti ya tatu kwa Serikali ya Awamu ya Tano, bajeti ya mwaka 2018/2019 iliwasilishwa bungeni Juni 14, mwaka huu ikilenga vipaumbele mbalimbali na hasa katika ujenzi wa msingi wa uchumi wa…

Taifa limefikaje hapa? (1)

Kutokana na ile makala yangu “Pilipili usizozila zakuwashiani?” nimepokea mrejesho wa kushangaza kutoka wasomaji wa JAMHURI. Moja ya SMS hizo ilisomeka hivi nainukuu: “Brigedia Jenerali Mstaafu Francis Mbenna, shikamoo mzee wangu na hongera kwa makala zako nzuri na zenye kuelimisha…

Tarime kwawaka

Tarime kwawaka *Vijana wachachamaa Zakaria kukamatwa usiku *Namba gari la ‘TISS’, la raia Tarime zafanana *Shabaha yamwokoa Zakaria, aliwindwa siku 7 *TISS waliojeruhiwa yadaiwa walitoka D’ Salaam   TARIME   NA MWANDISHI WETU   Utata umezidi kuibuka kwenye tukio la…

Huduma za Mwendokasi ziboreshwe

DAR ES SALAAM ALEX KAZENGA Watanzania tulio wengi tu wazuri kuzungumza, lakini kwenye kutenda baso tunasuasua. Linapokuja suala la kutenda mipango tunayozungumza huwa tunakwama-kwama. Sijajua nini tatizo na kwanini tuwe kwenye hali hiyo au kwanini hatupati suluhisho la kudumu. Nikiutazama…

Mabula abaini uzembe ukusanyaji kodi

NA MUNIR SHEMWETA, LINDI   Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amefanya ziara katika mikoa ya Lindi na Ruvuma kukagua mfumo wa ukusanyaji kodi ya ardhi, kuhamasishaji ulipaji kodi hiyo na kusikiliza kero za migogoro…

KAMANDA SIRO AFANYA MABADILIKO YA MA-RPC

  Mkuu wa Jeshi la Polisi, Simon Siro amefanya mabadiliko ya Makamanda katika baadhi ya mikoa kama ifuatavyo. 1. SACP Deusdedit Nsimeki aliyekuwa Makao Makuu ya Upelelezi anakwenda kuwa RPC Simiyu. 2. SACP Ulrich Matei aliyekuwa RPC Morogoro, anakwenda kuwa…