Author: Jamhuri
Kiongozi wa upinzani afungwa jela maisha
Kiongozi wa upinzani nchini Bahrain, Sheikh Ali Salman, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya mahakama ya rufaa kumkuta na hatia ya kuipeleleza nchi hiyo kwa niaba ya nchi ya Qatar. Hukumu hiyo inakuja miezi michache baada ya mahakama ya…
Raila Odinga anakuwa Rais Kenya (5)
Wiki iliyopita tuliishia katika eneo linaloonyesha kuwa nchini Tanzania hakuna chama kinachoweza kuunda muungano na kikasimamisha mgombea kama walivyotaka wanasiasa wa upinzani mwaka 2015 kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Kwa Kenya, hili linawezekana. Wamelifanya mara kadhaa na limekuwa…
Je, maumivu ya titi ni saratani?
Nakukumbusha tu msomaji wa safu hii kuwa mwezi Oktoba huadhimishwa kwa kuinua uelewa kuhusu saratani ya titi. Hii ni kutokana na kalenda ya magonjwa ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya afya (WHO) kwa lengo la si tu kuinua…
Ndugu Rais tunyooshe kwa upendo, tutanyooka tu
Ndugu Rais, watu wako wamekusikia vema kwa yote uliyoyasema Novemba Mosi, 2018 katika kongamano la siasa na uchumi lililofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika ukumbi wa Nkrumah. Wamekusikiliza tangu ulivyoanza mpaka ulivyomaliza. Sitaki nikufananishe na mtu yeyote, lakini…
Wanangu tunahitaji ushindi – Lesotho
“Wanangu nendeni mkashinde, nendeni mkapeperushe vizuri bendera ya Tanzania, lengo letu iwe ni kushinda tu.” Ni nasaha iliyotolewa na Rais Dk. John Magufuli alipokutana na kuzungumza na wachezaji wa Taifa Stars wiki mbili zilizopita Ikulu, jijini Dar es Salaam. Ni…
Yah: Hiki ni kizazi gani na tunaelekea wapi?
Kuna wakati huwa najiuliza, ni wapi ambapo tulikosea hii nchi yetu? Nchi iliyokuwa ya asali na maziwa katika uzalendo, maadili, uaminifu, utamaduni, mapenzi, upendo na mengineyo mengi tu. Najiuliza tuko wapi tulio hai mpaka leo na tunaojua ukweli wa asili…