JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

ESTHER MATIKO APEWA ONYO MAHAKAMANI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuonya Mbunge wa Tarime Mjini (Chadema), Esther Matiko, kwa kushindwa kuwasiliana na mdhamini wake. Onyo hilo limetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, katika kesi ya kufanya maandamano yasiyo halali inayowakabili viongozi tisa wa Chama…

Mbunge CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Rushwa

MBUNGE wa Kishapu Mkoani Shinyanga (CCM), Suleiman Nchambi na viongozi watatu wa mgodi wa Stamigold uliyopo Tulawaka wilayani Biharamulo Kagera, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za rushwa. Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya…

SIMBA YAINGIA MKATABA WA MILIONI 250 NA MO ENERGY

Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuingia mkataba wa mwaka na Kampuni ya Utengenezaji vinywaji ya A One Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink. Mkataba huo utakuwa na thamani ya fedha za kitanzania, shilingi milioni 250. Kwa mujibu wa…

KOCHA ALIYEIPA UBINGWA WA AFRIKA NIGERIA, ASAINI MIAKA MIWILI TAIFA STARS

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amemtangaza kocha Emmanuel Amunike kutoka Nigeria kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars”. Kocha huyo amefikia mwafaka na TFF ya kusaini kandarasi ya miaka miwili…

JASINTA MBONEKO ALA KIAPO CHA UKUU WA WILAYA YA SHINYANGA

Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainab Telack amemuapisha Jasinta Venant Mboneko kuwa mkuu wa wilaya ya Shinyanga leo Jumatatu Agosti 6,2018. Hafla fupi ya kuapishwa kwa mkuu huyo mpya wa wilaya ya Shinyanga imefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa…

Kangi Lugola Atoa Onyo Makampuni ya Ulinzi Yanayoajiri Vikongwe

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Alphaxard Lugola, ametoa mwezi mmoja kwa makapuni binafsi ya ulinzi nchini kuhakikisha yanarekebisha mfumo wao wa kuajiri pamoja na utoaji wa mishahara kabla ya Wizara yake haijaanza kuyahakiki makampuni hayo. Lugola amesema…