Author: Jamhuri
Agizo alilotoa RC Tabora kwa ‘mchwa’ hawa watalitekeleza?
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa, amezitaka Halmashauri za Wilaya mkoani humo kuhakikisha hazipati hati chafu za ukaguzi wa fedha za serikali, vinginevyo wakurugenzi watendaji na watumishi katika ngazi hizo wasioweza kutekeleza agizo hilo waache kazi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia
Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania. Hebu…
Habari mpya
- Kamati ya Bunge yapongeza miradi ya TEHAMA, yataka wabunifu walindwe
- Wachimbaji wadogo waishukuru Serikali
- Nchi 43 kupigwa marufuku kusafiri Marekani
- Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini kwa kumchukia Rais Trump
- Dkt. Ndumbaro azitaka Bodi za Wadhamini zising’ang’anie madaraka
- Prof. Janabi miongoni mwa wagombea watano kumrithi Ndugulile WHO
- Waziri Kikwete aitaka Bodi ya Wadhamini NSSF kuzingatia miongozo
- Watanzania waombwa kuchangamkia fursa za masomo India
- Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe
- Tanzania, Barbados kuimarisha ushirikiano
- Mkenda: Tutaendelea kuimarisha ushirikiano sekta ya nguo na mavazi
- Simba yaifanyia umafia Dodoma Jiji, yainyuka 6 -0
- Tanzania, Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo
- Kamati ya Bunge yaridhishwa na utendajikazi wa TPA bandari ya Tanga
- Askari wa Usalama Barabarani Mlandizi watakiwa kuendelea kusimamia vyema sheria