Author: Jamhuri
Tuwe makini kulinda ardhi yetu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, jana aliwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo ya mwaka 2012/2013.
Sasa umefika wakati wa vitendo-Tibaijuka
[caption id="attachment_195" align="alignleft" width="160"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema kuanzia sasa inachofanya ni vitendo tu katika kukabiliana na wavunjifu wa sheria za ardhi, wakiwamo wavamizi wa maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa.
Sinema kwa wasioona zaja
Badala ya utaratibu wa zamani sasa waonyesha sinema wamebuni utaratibu mpya wenye kuwawezesha watu wasioona kuangalia sinema sambamba na watu wanaoona. Teknolojia hii ya aina yake, iko sawa na zile zinazotumika kwenye ndege ikiwa angani, ambapo mtu anaweza…
Brigedia Jenerali aliasa Taifa (2)
Pamoja na malalamiko mengi na ya mara kwa mara, lakini ndugu zangu Watanzania wenzangu hawa wamejaaliwa uwezo mkubwa sana kiuchumi (have a very strong economic base). Hilo kamwe hawalitangazi wanaliacha kwenye “low profile”- mambo yao kimya kimya tu.
Tibaijuka anguruma
[caption id="attachment_191" align="alignleft" width="189"]Profesa Anna Tibaijuka[/caption]*Akomesha viji-zawadi vya wawekezaji
*Wananchi kumiliki hisa kwenye ardhi
*Kigamboni kujengwa kwa trilioni 16
HATIMAYE Serikali imeridhia kufanya mabadiliko makubwa kwenye umiliki wa ardhi kwa kuwabana wawekezaji wanaojitwalia ardhi kubwa kwa kutoa viji-zawadi vidogo vidogo kwa halmashauri, vijiji na wananchi.
Dozi ya Magufuli kwa viongozi wenzake
Suala la Dar es Salaam ni “very complex” na mimi nataka niwe muwazi na nataka nizungumze kwa ukweli. Ujenzi wa barabara za Dar es Salaam zina matatizo sana .