Author: Jamhuri
Mwakyembe, Chambo wasitishwe
BAADHI ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamemwandikia barua Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu, Balozi Ombeni Sefue wakidai kuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe anafanya kazi kwa kutumia majungu anayopelekewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Omar Chambo.
Yah: Nguvu ya maji yaja, mtaua wangapi?
Wanangu, ka-jua ka leo kananikumbusha mandhari ya miaka mingi kabla Tanganyika haijaanza kuwa jangwa la kutisha na kushindwa kuhimili hali ya ukame na wakati mwingine kukosa maji ambayo yanasababisha hadi tukose umeme na kusababisha kuyumba kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi.
Kikwete polisi wanaanza kuyeyusha heshima uliyojijengea
Mwaka 2008 nilibahatika kuwa mmoja wa watu waliopata fursa ya kusafiri na Rais Jakaya Kikwete kwenda jijini Washington, Marekani. Safari hii ilikuwa ikihusiana na mambo mbalimbali lakini kubwa ni kushawishi Serikali ya Marekani kuridhia Mpango wa Millennia Challenge Cooperation (Account) – MCC.
Waziri Mgimwa ahimiza ufanisi PPF
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, amehimiza utendani makini utakaongeza ufanisi katika Mfuko wa Pensheni za Mashirika ya Umma (PPF) nchini.
Elimu ya Tanzania vipi?
Baada ya matokeo ya mitihani ya darasa la VII ya mwaka 2011 kutangazwa, kumetokea tashtiti kubwa katika nchi hii. Kule kutangazwa kwamba wanafunzi 5,200 hawajui kusoma wala kuandika, lakini wamo miongoni mwa watoto 567,567 waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu, kumewashangaza wengi. Naona kama ni jambo fulani la kisanii!
Sumaye, Nagu katika vita kali
*Muhtasari wa kikao wachakachuliwa, jina la Dk. Nagu laingizwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, kinakabiliwa na mpasuko unaosababishwa na uhasama ulioibuka kati ya Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
Habari mpya
- Simba, Yanga kupambana Mei 10, Zanzibar
- Serikali yamaliza kero ya wagonjwa kusafirishwa kwenye matenga, baiskeli Namtumbo
- Hotuba ya mwisho ya Papa Francis siku ya Pasaka 2025
- Wasira kunguruma siku tano Dodoma
- Viongozi wa dunia wajiandaa kushiriki mazishi ya Papa, Roma
- Dorothy kupambana na Rais Samia
- RC Chalamila atoa onyo kwa wanasiasa wanaofanya mikutano Kariakoo
- Wataalam kutoka ofisi za Umoja wa Afrika watembelea TMA
- Maadhimisho ya Muungano 2025 kufanyika Kimikoa
- Vitongoji 82 Tarime vijijini kupelekewa umeme na mradi wa HEP IIB – Kapinga
- Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya TAMISEMI Trilioni 11.78 kwa mwaka 2025/2026
- Masauni awataka Watanzania kuendelea kuuenzi, kuulinda Muungano
- Zaidi ya bilioni 19 kutumika kwa ujenzi wa barabara, madaraja Manyara – RC Sendiga
- Wabunge waitaka Wizara ya Fedha iipe fedha Wizara ya TAMISEMI itekeleze majukumu yake
- eMrejesho V2 yachaguliwa kuwania Tuzo za WSIS 2025