Author: Jamhuri
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
Tanesco inawakera wateja Dar es Salaam
Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco), limeanza kuwakera wateja wake jijini Dar es Salaama, hata baada ya uongozi wa wizara husika kutangaza kikomo cha tatizo la mgawo wa nishati hiyo.
Mihadarati sasa yapigiwa upatu
Nilipokuwa nchini Ghana kwa mafunzo ya vitendo mwishoni mwa miaka ya ’80, nilishangazwa na daktari mmoja. Nakumbuka ilikuwa katika Korle-Bu Teaching Hospital ya Chuo Kikuu cha Accra, na bado sijausahau mtaa wake – Guggisberg Avenue katika mji mkuu, Accra.
JK asifu utendaji wa Mchechu NHC
Rais Jakaya Kikwete ameusifu utendaji wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba (NHC), Nehemia Mchechu, kwamba umerudisha heshima ya shirika hilo.
Ameisifu pia Bodi ya NHC, wafanyakazi wa shirika hilo kwa kutoa ushirikiano mzuri kwa mkurugenzi huyo.
Yah: Kama ningekuwa Waziri wa Usalama Barabarani
Wanangu, nawapa kongole ya kutimiza miaka 51 ya Uhuru mlionao hivi leo, nawapongeza kwa kuwa sisi wana-TANU ni kama ndoto ya kuamini kuwa tumeweza kuhimili vishindo vya wakoloni kwa kipindi chote hiki.
Sarafu moja Afrika Mashariki ni mtego
Wiki iliyopita hapa nchini umekuwapo mjadala wa kiuchumi, unaohoji mpango wa kuharakisha matumizi ya sarafu moja katika Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mjadala huu umehusisha wadau mbalimbali, akiwamo Balozi wa Tanzania nchini Ubeligji, Dk. Diodorus Kamala.
Habari mpya
- Wananchi wachagua viongozi Serikali za Mitaa
- Ado Shaibu apiga kura ya kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Tunduru
- Dk Faustine Ndungulile afariki dunia
- Ashambuliwa na wasiojulikana nyumbani kwake na kumuua
- Jumuiya ya NATO yaihakikishia Ukraine msaada
- Watu 5 wafariki ajali ya ndege Costa Rica
- Tanzania yapongezwa maandalizi ya maadhimisho ya miaka 25 ya EAC
- Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
- Zitto awataka Kigoma kupiga kura ya hapana pale CCM wanapobaki pekee
- Timu ya Taifa kuogelea yawaduwaza wengi Burundi
- Himahima tujitokeze kwa wingi kupiga kura – Kapinga
- Geita msiniangushe, msiiangushe CCM – Dk Biteko
- Wananchi Pwani wapigieni kura wagombe wa CCM ni chaguo sahihi – Abdulla
- Yanga wakandwa na aL Hilal kwa Mkapa
- Rais Samia apokea Hati za utambulisho kutoka kwa Mabalozi hapa nchini Chamwino Dodoma