Author: Jamhuri
Nguvu ya rangi katika biashara zetu
Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja. Miaka michache iliyopita, kampuni moja ya hapa Tanzania ilitambulisha bidhaa zake za juisi zilizokuwa zikifahamika kama “Yebo”. Juhudi kubwa ilielekezwa katika kuitangaza…
Nashukuru, utabiri kwa Nyalandu unatimia
Tangu mapema kabisa nilishasema kwamba Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ni tatizo. Niliyasema haya wiki kadhaa baada ya kuteuliwa kwake kushika wadhifa huo.Nyalandu alianza matatizo tangu akiwa Wizara ya Viwanda na Biashara. Nadhani Dk. Cyril Chami, anaweza kuwa msaada mzuri katika hili ninalolisema.
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Uhuru umeyeyusha matarajio yetu
Desemba 9, mwaka huu, Watanzania tumeadhimisha miaka 51 ya Uhuru wa nchi yetu, huku wengi wetu wakikabiliwa na maisha magumu kupindukia. Binafsi ninaamini kuwa ni unafiki kusema Tanzania haina cha kujivunia, lakini pia ni unafiki kusema Serikali kupitia Uhuru huu, imeboresha maisha ya wananchi.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
Habari mpya
- Tanzania iko tayari kwa mashindano ya CHAN na AFCON
- Rais Samia mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Sheria
- Jaji Mkuu: Toeni taarifa endapo hamjaridhishwa na huduma za mahakama
- Wakili Mahinyila achaguliwa mwenyekiti BAVICHA
- Rais Samia amlilia DC Mbozi Ester Mahawe
- Maliasili, Mambo ya Ndani zatakiwa kushirikiana kukuza utalii
- Naibu Waziri Maryprisca Mahundi amuonya diwani kutopotosha umma
- Wawili wauwa katika ugomvi wa kugombea ardhi Mbarali, watatu mbaroni
- TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Dikeledi
- Arusha mbioni kuwa kitovu cha utalii wa matibabu ukanda wa Afrika Mashariki
- Kesi ya kumuondoa madarakani rais wa Korea Kusini aliyesimamishwa kazi yaanza kusikilizwa
- Wanaume wa Kihindu waliopakwa majivu waongoza ibada ya kuoga India
- Lema : Sitagombea ubunge Arusha 2025, atakayegombea nitamsaidia
- Lema atangaza kumuunga mkono Lissu, amshauri Mbowe kukaa pembeni
- Lori laua 11 waliokwenda kutoa msaada kwenye ajali Segera mkoani Tanga