Author: Jamhuri
Okwi awanyong’onyesha Simba
Pengo lililoachwa na mshambuliaji mahiri wa kikosi cha Simba, Emmanuel Okwi, limewanyong’onyesha mashabiki kiasi cha kupungukia matumaini ya kuona timu hiyo ikifanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara, msimu huu.
Yah: Kama nikichaguliwa kuwa rais nitafanya yafuatayo
Wanangu, ningependa mpokee mawazo yangu muone, je, kuna tija yoyote ya kuwa mbele katika mambo ambayo mimi niko nyuma kama wazee wengine wa zamani; na kwamba uzembe huo wa kutokwenda na wakati ninyi mwendao na wakati mmefanikiwa kwa kiwango gani!
Huhitaji mtaji kuanzisha biashara!
Miaka ya karibuni, dhana ya ujasiriamali imeenea kwa kasi kubwa miongoni mwa wanajamii. Kwa sasa kila kona tunasikia ujasiriamali – kanisani, mitaani, vyuoni na katika mikutano ya kisiasa kunahubiriwa ujasiriamali. Hata hivyo, kuna kibwagizo kinachojirudia kila zinapotajwa changamoto za ujasiriamali – ukosefu wa mitaji!
MAONI YA KATIBA MPYA
Dk. Kamani: Mahakama isiwe juu ya sheria nchini
Mbunge wa Busega mkoani Simiyu Dk. Titus Kamani (CCM), amependekeza pamoja na mambo mengine, Katiba mpya idhibiti uhuru wa Mahakama na kuruhusu uundaji chombo maalumu cha kuwabana wahujumu uchumi.
FASIHI FASAHA
Tunakubali rushwa ni adui wa haki? (2)
Juma lililopita, nilielezea madhumuni ya Serikali kuunda Tume ya Kero ya Rushwa, na nilionesha matatizo makuu mawili yaliyoikabili katika harakati za kubaini kero ya rushwa nchini.
FIKRA YA HEKIMA
Miradi ya kiuchumi inaua lengo la dini?
Imani za kishirikina zimeendelea kushika kasi nchini, kiasi cha watu wengi kuamini kuwa dini zimeweka kando majukumu ya kiroho na kujikita katika miradi ya kiuchumi.
- Biden atoa hotuba ya kuaga na kuhofia utawala ujao wa Trump
- NEMC Kanda ya Kaskazini yaeleza mikakati na mafanikio yake
- Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yapongezwa kimataifa
- Wizara ya Afya yatoa taarifa tetesi za uwepo wa ugonjwa Marburg Kagera
- Wizara ya Nishati yawasilisha utekelezaji wa bajeti 2024/25 katika Kamati ya Kudumu ya Bunge
Habari mpya
- Biden atoa hotuba ya kuaga na kuhofia utawala ujao wa Trump
- NEMC Kanda ya Kaskazini yaeleza mikakati na mafanikio yake
- Makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza yapongezwa kimataifa
- Wizara ya Afya yatoa taarifa tetesi za uwepo wa ugonjwa Marburg Kagera
- Wizara ya Nishati yawasilisha utekelezaji wa bajeti 2024/25 katika Kamati ya Kudumu ya Bunge
- Maandalizi ya mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi Afrika yafikia asilimia 95 – Dk Biteko
- Watanzania kunufaika na mashindano ya CHAN 2025, AFCON 2027
- Watumishi wafurahishwa na uzinduzi Baraza la Wafanyakazi Malinyi
- DC Same aagiza kukamatwa kwa waliowapa mimba wanafunzi wanne
- RITA yabaini wizi wa mali ya bilioni mbili msikiti wa Manyema
- CBE kuadhimisha miaka 60 ya kuanzishwa kwake
- Kwaya ya watoto Westminster yatoa msaada Muhimbili
- Askari walioonekana wakichukua rushwa barabarani wakamatwa Dar
- Korea Kaskazini yafyatua makombora ya majaribio
- Msichana wa kazi, mganga wa kienyeji waiba watoto wawili Dar