Author: Jamhuri
Mtendaji Mkuu OSHA matatani
Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina Kayumba, anahusishwa na matumizi mabaya ya madaraka na ya fedha za umma.
Wanawake wamsononesha Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesononeshwa na idadi ndogo ya wanafunzi wa kike, katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST).
Ni ujinga CHADEMA kupinga uzazi wa mpango
Desemba 31, 2012 Rais Jakaya Kikwete alitangaza matokeo ya sensa ya watu na makazi, iliyofanyika Agosti mwaka huo. Rais Kikwete alitangaza kwamba kwa mujibu wa matokeo ya sensa hiyo idadi ya Watanzania ni 44,929,002.
Utawala bora hutokana na maadili mema (1)
Sehemu hii ya makala ilichapishwa katika toleo lililopita ikiwa na upungufu kidogo. Kwa sababu hiyo, tumeamua kuirejea yote pamoja na kuweka maneno yaliyokosekana katika makala hiyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu.
Mhariri
Upungufu wa dawa, wafadhili ni hatari
Shirika lisilo la kiserikali linalofanya kazi ya kuboresha utawala bora, uwazi na uwajibikaji katika sekta ya afya na Ukimwi, SIKIKA, wiki iliyopita limetoa taarifa yenye kushtua juu ya upatikanaji wa dawa na wagharimiaji.
Misaada hii ya udhalilishaji Afrika no!
Moja ya mambo ambayo Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, yatamfanya asisahaulike kwayo, ni kule kujiamini hata kuwakemea wakoloni na rafiki zao.