Author: Jamhuri
Samaki Ziwa Victoria bye bye
*CAG asema uvuvi huu ukiendelea miaka 15 ijayo litakuwa tupu
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, ametoa ripoti ya ukaguzi ya mwaka 2011/2012 na kutoa tahadhari kwamba endapo uvuvi haramu hautadhibitiwa katika Ziwa Victoria, miaka 15 hadi 20 ijayo samaki watakuwa wametoweka katika ziwa hilo kubwa katika Afrika.
Bagamoyo wamegewa neema nyingine
*Vijiji 20 kugawiwa fedha, chakula, elimu
Wakati bado mjadala wa upendeleo wa wilaya yake ukiendelea kumwandamana Rais Jakaya Kikwete, mradi mwingine wa mabilioni ya shilingi umepelekwa katika vijiji 20 vya Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.
Bila kudhibiti NGOs Loliondo haitatulia
Kwa mara nyingine, Loliondo imetawala kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi. Sina desturi ya kuitetea Serikali, lakini hiyo haina maana kwamba inapoamua kufanya jambo la manufaa kwa vizazi vya sasa na vijavyo, nishindwe kuitetea.
BAADA YA KUANIKA MADUDU…
Ofisi ya CAG sasa yasambaratishwa
*Naibu CAG aondolewa, Utouh atakiwa ajiandae kung’atuka
Hasira za watendaji kadhaa wa Serikali Kuu, Serikali za Mitaa, Mashirika ya Umma na taasisi mbalimbali dhidi ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, zimeanza kuzaa matunda baada ya kuwapo mpango wa kuwang’oa viongozi wake wakuu.
NuKUU ZA WIKI
Nyerere: Miiko ya uongozi
“Siku hizi fedha ndio sifa kubwa ya mtu kuchaguliwa kuwa kiongozi. Miiko ya uongozi ambayo ni jambo la lazima katika kila nchi duniani, haipo tena hapa nchini.”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Dk. Wande alilia mshikamano Simba
*Ahofu mgogoro wa Simba utaathiri soka nchini
Mwanachama wa siku nyingi wa Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club ya Dar es Salaam, Dk. Mohamed Wande, ametaja mbinu pekee ya kuinusuru klabu hiyo isididimie kisoka kuwa ni mshikamano wa wanachama na wachezaji.
Habari mpya
- ‘Hakuna mashaka kuhusu ukubwa wa wa Chama Cha Mapinduzi’
- Matukio mbalimbali wakati Mkutano Mkuu wa CCM
- Wasira ndiye Makamu Mwenyekiti CCM
- Lissu ametoa taarifa za uongo, sijatoa rushwa popote – Naftal
- JKCI wafundishwa teknolojia ya kisasa ya kuziba matundu ya moyo
- Kagame ailaani Jumuiya ya Kimataifa kutilia shaka Rwanda
- Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu kuelekea mkutano mkuu maalumu wa CCM
- Rais Samia ateua na kuhamisha viongozi
- Shirikisho la Waandishi wa habari Afrika Mashariki laanzishwa kutetea haki za wanahabari
- TLSB: Serikali mwaka huu itatenga fedha nyingi za ununuzi wa vitabu vya ndani
- Kwenye uchaguzi wa BAVICHA rushwa ilikuwepo -Wakili Mahinyila
- Lema amjibu Wenje, amuita muongo
- UNCDF yataka jamii kuelimishwa zaidi matumizi ya nishati safi
- Vifo Gaza vyafikia 77 kufuatia mashambulizi ya Israel
- NCC yahimiza ujenzi wa majengo salama na yanayozingatia afya ya watumiaji