Author: Jamhuri
Tumeacha kuheshimu sheria, tumekwisha
Na Deodatus Balile, Johannesburg
Wiki hii nimekuwa hapa jijini Johannesburg. Nimekuja hapa Afrika Kusini kwa nia ya kumuona Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, aliyetekwa, akapigwa, akaumizwa, akatobolewa jicho, akang’olewa meno na kucha. Ametiwa ulemavu wa kudumu. Ni masikitiko makubwa.
Tumerudi hewani
Mpendwa msomaji, Natumaini hujambo na unaendelea vyema. Kutokana na sababu zilizoko nje ya uwezo wetu, wavuti wetu haukuwa hewani kwa karibu miezi minne. Tumepigana kwa kila hali, tatizo hili limekwisha na sasa tunarejea hewani. Tunaahidi kuendelea kuwatumikia kwa hali…
Ras Inno kuitambulisha bendi yake
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, mwanamuziki nguli wa miondoko ya reggae hapa nchini, Ras Inno Nganyagwa, anarudi tena jukwaani kwa kuitambulisha rasmi bendi yake.
Yah: Bomu la elimu duni, ajira, njaa
Wiki jana nilikumbuka baadhi ya mabomu mabaya zaidi duniani, ambayo Tanzania pia tunajitahidi kuyatengeneza japokuwa mataifa makubwa yanayotengeneza silaha kali, hayataki kuja kutuchunguza ili tuwekewe vizingiti vya kiuchumi.
Je, Mkristo akichinja ni haramu? – 3
Wiki iliyopita makala haya yaliishia Mbunge Hafidh Ali Tahir, alipoiomba Serikali kuweka utaratibu wa kuchinja. Je, unajua majibu aliyotoa waziri? Endelea…
Sisi Waafrika weusi tukoje? (2)
Ndugu yangu Bundara anasema kwamba Waafrika waliiga matumizi ya Kizungu vizuri zaidi kuliko walivyoiga mbinu za Wazungu za uzalishaji. Ndiyo kusema tulitamani sana tabia na desturi za Wazungu angalau nasi tukubalike kama ni watu kama wao. Tulitaka tunukie Uzungu.