JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

HOTUBA YA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHESHIMIWA BALOZI KHAMIS SUEDI KAGASHEKI (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2013/2014

  • UTANGULIZI
  • Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa  ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira iliyowasilishwa leo ndani ya Bunge lako Tukufu na Mwenyekiti wake Mhe. James Daudi Lembeli (Mb.), Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Makadirio na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kwa mwaka 2013/14.

JWTZ wakiamua watamaliza ujangili

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira imetaka bayana kwamba ujangili ni janga la kitaifa. Hatuhitaji mtaalamu wa utabiri aje kutoa kauli nyingine tofauti na hiyo.

NUKUU ZA WIKI

Nyerere: Moyo wa kujitolea umefifia

“Moyo wa kujitolea umefifia mno. Katika hali kama hiyo ni vigumu sana kuwapata viongozi wenye moyo wa kuwatumikia wenzao.”

Mameno haya ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Utalii uzalishe ajira kwa wananchi

Sekta ya utalii inatajwa kuwa ya pili katika kuchangia pato la Taifa kutokana na fedha za kigeni, lakini pia  ina fursa nyingi zinazoweza kuzalisha ajira kwa watu wanaozunguka maeneo husika.

Jellah Mtagwa aibua huzuni bungeni

*Ameichezea Stars miaka 15, sasa yu hohe hahe

*Sura yake ilipamba stempu kwenye miaka ya 1980

*Azzan: Ngoja wafe… msome wasifu wao mrefu

Majibu ya Serikali kuhusu kutomsaidia Nahodha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Jellah Mtagwa, yamewaudhi baadhi ya wabunge.

TANAPA kununua ndege mbili za doria

Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika kupambana na majangili, mwaka huu wa fedha wa 2013/2014 limepanga kununua ndege mbili za doria na magari 43, Bunge limeelezwa.