Author: Jamhuri
Uendelezaji Kigamboni upo palepale – Serikali
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imesema nia ya kuendeleza Mji Mpya wa Kigamboni, ipo palepale.
Serikali mdaiwa sugu wa NHC
Kamati ya Bunge imeitaka Serikali ilipe deni la miezi 88 la Sh zaidi ya bilioni 3.145 inazodaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Waziri: Benki zitambue Hatimiliki za Kimila
Serikali imezitaka benki ziwe tayari kupokea Hatimiliki za Kimila kwa ajili ya kuwasaidia wahusika kupata mikopo.
Tibaijuka apinga wananchi kupunjwa
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amewahimiza wananchi kudai fidia stahiki pale maeneo yao yanapotwaliwa na Serikali kwa ajili ya maendeleo ya umma.
Serikali: Ardhi ni ya Watanzania tu
*Yawaonya wageni waliojipenyeza kuimiliki kinyemela
Serikali imeendelea kuwapiga marufuku wageni kutoka mataifa jirani na Tanzania, kujipenyeza na kumiliki ardhi kinyemela hapa nchini.
FIKRA YA HEKIMA
Mbunge Nyimbo kanena,
Rais apewe kipaumbele
Hivi karibuni, Mbunge wa Viti Maalumu, Tauhida Cassian Nyimbo (CCM), alivishauri vyombo vya habari kujenga dhana ya kuzipatia kipaumbele habari za Kiongozi wa Nchi, Rais.