Author: Jamhuri
Wachina hufanya chochote wanachotaka
Juni 1964 Tanzania ilitembelewa kwa mara ya kwanza na kiongozi wa ngazi ya juu kutoka China. Alikuwa Wazari Mkuu Chou en-Lai.
Ndoto ya pensheni kwa wazee wote kutimia (1)
Siku za karibuni tumesikia misamiati mbalimbali juu ya kuwasaidia wazee wote wa Tanzania. Upo msamiati wa wazee kupatiwa PENSHENI huko tuelekeako. Wengine wanasema wazee watapata Cash Grant. Msamiati mwingine unasema wazee wanaandaliwa mpango unaojulikana kama Universal Pension Scheme. Kitaifa ipo mifumo kadhaa ya kuwasaidia watu inayoitwa Mifuko ya HifadhiI ya Jamii kama vile NSSF, PPF, NHIF na LAPF.
Mauaji ya Barlow wingu zito latanda
*Polisi wasema kijana aliyetaja mtandao ni mgonjwa wa akili
*Yeye asisitiza kuwa kichaa, analazimishwa dawa Muhimbili
*Ndugu waeleza historia, daktari anayemtibu aingia mitini
Jeshi la Polisi nchini limempeleka na kumlaza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, kijana Mohamed Malele, mshirika wa mtandao uliohusika kumuua Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, wakidai ni mgonjwa wa akili.
RPC ‘atumika’ kuchangisha rushwa
* Watendaji wadaiwa kutumia jina lake kula rushwa kwa walima bangi
* RPC Tarime/Rorya awaruka, DC asema dawa yao inachemka
Maofisa watendaji wa Kijiji cha Kwisarara na Kata ya Bumera wanatuhumiwa kutumia jina la Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RPC) wa Kipolisi Tarime/Rorya kuchukua rushwa ya fedha kutoka kwa wakulima wa zao haramu la bangi.
Rage ni tatizo Simba-Kalimauganga
Mwenyekiti wa Friends of Simba, Mkoa wa Tabora, Sadiki Kalimauganga, amesema kuwa kufanya vibaya kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club ya Dar es Salaam, katika Ligi Kuu ya Vodacom iliyomalizika hivi karibuni, kunatokana na uongozi mbovu wa Ismael Aden Rage.
Diwani awaangukia wezi wa sola
Diwani wa kata ya Kisaka wilayani Serengeti, Chacha Togoche, ‘amewangukia’ wezi akiwaomba kutorudia kuiba sola katika zahanati ya kijiji cha Nyiboko.
Habari mpya
- Rais Samia :Tanzania imepiga hatua uboreshaji sekta ya afya nchini
- ‘Jeshi na M23 wakiuka sheria ya vita’
- Trump atia saini agizo la kuiondoa Marekani WHO
- Soma Gazeti la Jamhuri Januari 21- 27, 2025
- Dk Mpango atoa wito kwa majaji, mahakimu wanawake kutofumbia macho vitendo vya ukatili
- TEF yawapongeza Dk Samia, Dk Mwinyi, Dk Nchimbi
- Mikoa sita kunufaika na msaada wa kisheria wa mama Samia
- Polisi Pwani wamkamata aliyesambaza picha chafu za utupu akihusisha shule ya Baobab
- Wamuua ndugu yao na kumfukia kwenye shimo nyumbani kwake
- TikTok yarejesha huduma zake Marekani baada ya ahadi ya Trump
- Jafo aagiza jengo la Metrolojia CBE likamilike kwa wakati
- Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
- Uhusiano baina ya Tanzania, Czech kung’ara
- Rais Samia, Mwinyi mitano tena
- Simba njia nyeupe