Author: Jamhuri
Kenya, Malawi zilivyolingana nguvu
Timu za soka za Malawi na Kenya, wiki iliyopita zilidhihirisha kulingana nguvu kwa kufungana mabao 2-2 mjini Blantyre, katika mechi ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia.
Serikali tatu ni utashi wa kisiasa
Gumzo la kudai kuwa na muundo wa Serikali tatu haukuanza leo. Kwa wafuatiliaji wa mambo ya historia watakumbuka sakata la madai ya kuwa na serikali tatu yaliyoongozwa na Mbunge machachari wa Lupa enzi hizo, Njelu Kasaka, kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam chini ya kivuli cha kundi lililojiita G 55. Waziri Mkuu mstaafu John Malecela anakumbuka kilichomsibu.
Tuwe makini ugawaji mikoa, wilaya
Rais Jakaya Kikwete ametoa baraka za ugawaji Mkoa wa Mbeya ili ipatikane mikoa miwili.
Tayari ameshafanikisha uanzishaji mikoa minne ya Simiyu, Njombe, Katavi na Geita. Pamoja na mikoa hiyo, ameanzisha wilaya nyingi mpya.
Soka la Tanzania bado – Mwaisabula
Kocha mahiri wa soka nchini, Kenedy Mwaisabula ‘Mzazi’, amesema Tanzania bado ina safari ndefu ya kufikia mafaniko katika soka kwa kulinganisha na za Ulaya.
NYUFA KATIKA KUTA ZA POLISI
Baba wa Taifa, Mwalimu Juliua Kambarage Nyerere, aliliasa Taifa kuendelea kuchunguza kuwapo kwa nyufa na kuziziba zitokeapo katika kuta za ‘Nyumba’ ya Taifa.
Majangili watumia silaha za kivita
Matarajio ya kukiachia kizazi kijacho urithi wa rasilimali za wanyamapori, hasa tembo yanafifia nchini Tanzania .