Author: Jamhuri
Kuna wamachinga wanaovuna mamilioni, walipe kodi stahiki
Hakuna binadamu anayependa kulipa kodi. Lakini Serikali haiwezi kujiendesha bila kodi, hivyo ni wajibu wa kila mtu mwenye sifa za kulipa kodi, kufanya hivyo.
Katiba Mpya iakisi uzalendo (Hitimisho)
Sehemu iliyopita, mwandishi alinukuu ibara ile ya kwanza ya
Mkataba wa Muungano na kusema mtu akiisoma atajua ilikuwa na viashiria vya undugu na umoja wetu wa asili kati ya watu wa nchi hizi mbili – Tanganyika na Zanzibar. Hii ni sehemu ya mwisho ya mfululizo wa makala ya Katiba Mpya iakisi uzalendo. Endelea
Maneno mazito namna hii na ya kizalendo kutoka kwa watu wa Zanzibar, leo mtu aje aseme mbona hatukushauriwa: Oh! mbona hatukuulizwa hivi. Wanaofyatuka kusema hivi walikuwa na umri gani Aprili 24, 1964? Pengine wala hawakuwa wameingia ulimwenguni. Leo waje na stori za watu wa Zanzibar eti waulizwe wanautaka Muungano au hawautaki ndipo Katiba yetu iandikwe ni sahihi kweli wazee wenzangu?
MISITU & MAZINGIRA
Misitu inavyokinufaisha Kijiji cha Nanjilinji ‘A’ (1)
Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi ni mojawapo za wilaya chache Tanzania Bara zilizobahatika kuwa na misitu ya asili ya kutosha ikilinganishwa na maeneo mengine nchini. Pamoja na kuwa na rsilimali misitu ya kutosha yenye aina za miti ya thamani sana mfano, mipingo (Dulbergia melanoxylon), Kilwa ni kati ya wilaya maskini nchini.
KONA YA AFYA
Vidonda vya tumbo na hatari zake (7)
Kuchelewa sana kula: Kuna maelekezo mengi ya wataalamu juu ya muda mzuri wa kula. Kuchelewa sana kula huweza kuleta tatizo la kiafya ikiwa ni pamoja na vidonda vya tumbo kama mtu atakuwa tayari ana mwelekeo wa kupata vidonda. Vile vile kula wakati husikii njaa si jambo zuri kwa afya. Kula ukiwa huna njaa (au umeshiba) hudhoofisha utendaji kazi wa mifumo inayohusika na usagaji chakula.
Mpunga, mahindi, miwa kuikomboa Tanzania
Leo nataka kujikita katika suala la Majadiliano ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote Smart Partnership Dialogue, ambayo ni dhana ya kiubunifu na msingi wake ni kanuni ya ‘Stawi Jirani Yangu kwa Manufaa Yetu Sote’.
Maghoba: Tanzania isipuuze vitisho vya Kagame – Hitimisho
Wiki iliyopita, sehemu ya kwanza ya makala haya pamoja na mambo mengine, mwanajeshi na mbunge mstaafu, Frank Maghoba, alieleza mtazamo wake kutokana na kauli ya vitisho inayodaiwa kutolewa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame dhidi ya Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Sasa endelea na sehemu hii ya mwisho…
Chanzo cha msuguano
Inaelezwa kuwa msuguano huo baina ya Rwanda na Tanzania ulianza kujitokeza siku chache baada ya kumalizika kwa kikao cha viongozi wa Nchi za Maziwa Makuu, kilichohudhuriwa pia na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, chini ya uenyekiti wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.
- Maeneo ya kijamii yamepewa kipaumbele kufikiwa na umeme – Kapinga
- Bodi ya wakurugenzi TAWA yaanza kikao chake Mbeya
- Majaliwa: Serikali inatambua mchango wa wadau mbalimbali katika elimu ya ufundi stadi
- Waziri Mkuu mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani
- Dodoma,Mwanza kunufaika na ujenzi wa maabara zitakazo ongeza ufanisi wa vipimo vya sampuli
Habari mpya
- Maeneo ya kijamii yamepewa kipaumbele kufikiwa na umeme – Kapinga
- Bodi ya wakurugenzi TAWA yaanza kikao chake Mbeya
- Majaliwa: Serikali inatambua mchango wa wadau mbalimbali katika elimu ya ufundi stadi
- Waziri Mkuu mgeni rasmi maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani
- Dodoma,Mwanza kunufaika na ujenzi wa maabara zitakazo ongeza ufanisi wa vipimo vya sampuli
- Madini ya Bati fursa zipo nyingi njooni – Mkopi
- Kamati ya Bunge yakagua mradi wa nyumba NSSF Mtoni Kijichi, Kikwete asifu ustahimilivu NSSF
- Israel yafanya mashambulizi Gaza ikidai kuwalenga Hamas
- Rwanda yavunja uhusiano na Ubelgiji
- Soma Gazeti la Jamhuri Machi 18 -24, 2025
- Rais Samia : Ardhi yote ni mali ya umma ya Watanzania, Serikali kuilinda
- Picha za matukio mbalimbali Wasira akiwa kwenye ziara
- JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi
- ‘Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari’
- Mabingwa Lina PG Tour 2024 kushuka dimbani kesho, michuano ya gofu Dubai