Author: Jamhuri
Bemba abeza uchaguzi DRC
Aliyekuwa mgombea urais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Jean- Pierre Bemba, ameubeza uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Desemba 23, mwaka huu kwa kuufananisha na maigizo yaliyopangwa kutimiza matakwa ya wachache. Akizungumza na wanahabari mara baada ya jina lake kuwa…
Macron na Markel wajadili uhamiaji
Marseille, Ufaransa Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron na Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, wamekutana mjini Marseille, Ufaransa kujadiliana kuhusu uhamiaji haramu kuelekea mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya Septemba 20, mwaka huu. Akimkaribisha Merkel katika kasri ya Pharo…
Rais Magufuli, meli umefuta kero
Wiki iliyopita Rais John Magufuli amefanya ziara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Moja ya ziara zilizotugusa ni ziara aliyoifanya mkoani Mwanza. Akiwa Mwanza amezindua ujenzi wa meli kubwa yenye uwezo wa kuchukua abiria 1,200, mizigo tani 400 na magari…
Ndugu Rais, wewe si mwanasiasa mzuri
Ndugu Rais, hakuna siku uliuchoma moyo wangu kama siku ile uliyo wazi, tena kwa umakini mkubwa huku ukionyesha waziwazi kuwa makali ya hisia katika kifua chako. Ukafika mahali ukashindwa kujizuia Naona uchungu ulikuzidi. Ilipokuja afueni, ukatulia kidogo. Na kama lilikujia,…
Parking Airport ni hatari
Mpita Njia (MN) amepata fursa ya kwenda Uwanja wa Ndege wa zamani wa Dar es Salaam (Terminal I). Akiwa hapo uwanja wa ndege langoni alikuta teknolojia ya kisasa kabisa, ambapo gari kuingia unabonyeza mashine, bonyeee, inatema kadi ya kulipia gharama…
Wingu jeusi’ linamnyemelea Koffi Olomide (2)
…Kutokana na tukio hilo Serikali ya Kenya ilimuamuru mwanamuziki huyo mwenye sauti nzito kuondoka mara moja nchini humo kutokana na kutokubaliana na vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake. Onyesho lililokuwa limepangwa kufanyika lilifutwa, wapenzi na mashabiki wake wakibaki wakisubiri kwa…