JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Haki za watoto hazilindwi inavyostahili

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Watoto. Kihistoria ni siku iliyoanza kuadhimishwa tangu karne ya 18, lakini sasa inatambuliwa rasmi na Umoja wa Mataifa. Ni siku inayopewa jina la watoto, lakini ukweli ni siku ya watu wazima kutafakari iwapo wanasimamia…

Sheria inapomtambua mvamizi wa ardhi

Ni muhimu kutahadharishana kuhusu jambo hili. Kitaalamu jambo hili huitwa ‘adverse possession.’ Ni kanuni ya kisheria. Ni wakati ambapo mtu au watu wanavamia ardhi yako, lakini baada ya muda wanahesabika kuwa ni wamiliki halali. Na wanatambuliwa hivyo na sheria na…

MAISHA NI MTIHANI (4)

Malezi ya watoto ni mtihani. Maisha ya mtoto ni kama karatasi nyeupe ambapo kila mpita njia anaacha alama. Kwa msingi huo malezi ya watoto ni mtihani, maana kila mpita njia anaweza kuacha alama hasi au alama chanya. Kusema kweli anayetoka…

Maisha bila maadui hayana maana (2)

Kutokusamehe kunaweza kukuangamiza wewe binafsi; kucheua ubaya uliotendewa, kulea uchungu, ni kudonoa kwenye donda lililo wazi na kukataa kuliruhusu lipone. Kuendelea kwetu kucheua kukwazika, kubaki kwetu katika uchungu nafsini mwetu, mawazo yaliyojaa chuki, kutaka kwetu kulipa kisasi, hakumuumizi kabisa mtu…

Mikiki ya Chuo Kikuu Huria

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda, amezungumza na Gazeti la JAMHURI kuhusu historia, mafanikio, changamoto na hatima ya chuo hicho. Mwandishi MANYERERE JACKTON, aliyezungumza naye, analeta maelezo ya Profesa Bisanda neno kwa neno. Endelea……

Valencia alia na Mourinho

Nahodha wa Klabu ya Manchester United, Antonio Valencia (33), amesema Meneja wake, Jose Mourinho, amemnyang’anya kitambaa cha unahodha bila sababu ya msingi. Amesema Mourinho alisingizia kwamba yeye ni majeruhi, jambo ambalo si kweli, huku akisema huo ulikuwa ni uamuzi binafsi wa…